Vizawadi ni kama kachumbari ya mapenzi, vinanogesha

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Jun 3, 2018
726
1,850
Mwenza wako hata kama anajiweza kiuchumi ila ukimpa zawadi kuna hisia anaipata hata kama iko kitu kipo ndani ya uwezo wake.

Angalizo usitumie gharama kubwa kwa mtu ambaye hauna future naye.

Zawadi ni mojawapo ya vitu vinavyoonyesha dalili ya upendo na kuimarisha mahusiano
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom