Mapenzi kabla ya ndoa

Inategemea mlitongozana kwa ajili gani... Kama mlitongozana mkijua dhahiri kua ni kwa ajili ya tamaa zenu juu yenu (lust)... Mara nyingi mapenzi ya namna hii yako relaxed kila mmoja akiwa huru na kujiachia kua they are having fun... This type of relationship huweza kukua na kukuta kua mnakuta mko compactable to the extent ya kua wenza na kufunga pingu za maisha... Hivo in this case kuimarisha...

Mkitongozana mikitegemea eventually mnataka kuoana.. Mapenzi yaweza sababisha stress katika relation ship sababu kila mfanyapo mnapimana... yaani both mdada na mkaka wako kutazamana na kuchunguzana (thou involuntary sometimes)... akifikiria kama anafaa, akiangalia kama anamfurahisha 6/6.. na ni dhahiri kila lichunguzwalo halikosi kasoro no matter how perfect... Hivo uhusiano wa namna hii Mapenzi kabla ya ndoa - matokeo ya kuoana ni 50/50....
 
ninavyojua mie most men wanajua from the beginning kama huyu ni mwanamke wa kuweza kuwa mke au huyu ni wakupoteza muda tuu...hivyo basi kufanya mapaenzi kabla ya ndoa sio determining factor ya kunoga au kuto noga kwa mapenzi
 
Mkitongozana mikitegemea eventually mnataka kuoana.. Mapenzi yaweza sababisha stress katika relation ship sababu kila mfanyapo mnapimana... yaani both mdada na mkaka wako kutazamana na kuchunguzana (thou involuntary sometimes)... akifikiria kama anafaa, akiangalia kama anamfurahisha 6/6.. na ni dhahiri kila lichunguzwalo halikosi kasoro no matter how perfect... Hivo uhusiano wa namna hii Mapenzi kabla ya ndoa - matokeo ya kuoana ni 50/50....
kutongozana kukihusishwa na kuoana ujue ni karaha tupu zimekaribishwa...............na wahusika
 
Inategemea mlitongozana kwa ajili gani... Kama mlitongozana mkijua dhahiri kua ni kwa ajili ya tamaa zenu juu yenu (lust)... Mara nyingi mapenzi ya namna hii yako relaxed kila mmoja akiwa huru na kujiachia kua they are having fun... This type of relationship huweza kukua na kukuta kua mnakuta mko compactable to the extent ya kua wenza na kufunga pingu za maisha... Hivo in this case kuimarisha...

Mkitongozana mikitegemea eventually mnataka kuoana.. Mapenzi yaweza sababisha stress katika relation ship sababu kila mfanyapo mnapimana... yaani both mdada na mkaka wako kutazamana na kuchunguzana (thou involuntary sometimes)... akifikiria kama anafaa, akiangalia kama anamfurahisha 6/6.. na ni dhahiri kila lichunguzwalo halikosi kasoro no matter how perfect... Hivo uhusiano wa namna hii Mapenzi kabla ya ndoa - matokeo ya kuoana ni 50/50....

Asha, nina uhakika suala la imani kwa Mwenyezi mungu hukulipa nafasi hapa......
 
Imani ni suala binafsi ila ni gumu sana. Kwa uzoefu wangu watu huwa hawafuatilii mambo ya imani. Wanachojali ni feelings na tamaa zao za ngono.

Binafsi sioni tatizo kama wako above 18 yrs.
 
"And come not near unto adultery. Lo! it is an abomination and an evil way." (Al-Isra': 32)

1 Corinthians 6:18-20 & 1 Corinthians 7:1-2

"Flee fornication. Every sin that a man doeth is without the body; but he that committeth fornication sinneth against his own body. What? know ye not that your body is the temple of the Holy Ghost which is in you, which ye have of God, and ye are not your own? For ye are bought with a price: therefore glorify God in your body, and in your spirit, which are God's. Now concerning the things whereof ye wrote unto me: It is good for a man not to touch a woman. Nevertheless, to avoid fornication, let every man have his own wife, and let every woman have her own husband."

Imani ni suala binafsi ila ni gumu sana. Kwa uzoefu wangu watu huwa hawafuatilii mambo ya imani. Wanachojali ni feelings na tamaa zao za ngono.

Binafsi sioni tatizo kama wako above 18 yrs.

Unayosema yanatokana na kutokulelewa kimaadili ya imani zetu kwani dini zote zinakata kuzini kabla ya kuoana lakini sie wenye dini hizi tunazini mpaka tunajukuu halafu tunaenda madhahabuni au kwa sheikh tunaoana/kubariki ndoa.

Dini/imani ni kwa kuzaliwa tu mimi naitwa Mohammed nimezaliwa kwenye uislam na wewe unaitwa John umezaliwa kwenye ukristu lakini ukiangalia kwa undani tunayoyatenda hayaendani na imani zetu asilani abadani. Kwa maana hiyo Imani sio swala binafsi nadhani tamaa ndio swala binafsi zaidi kwa imani haiwezi kuwa na ubinafsi ni suala la wengi na mafunzo yake hayana choyo(ubinafsi) kama ulivyoeleza.
 
Je? yanazidisha upendo na kuimarisha mahusiano au ni kinyume chake.

Hakuna formula. Kuna waliokutana wote 'mabikra' na ndoa zao hazikudumu lakini pia kuna waliokutana wote wameshafanya kila uzinzi kabla ya ndoa lakini ndoa zao zinadumu!
 
<br />
<br />
ni kweli ndoa haidumu kwa sababu ya bikira.
 
Asha, nina uhakika suala la imani kwa Mwenyezi mungu hukulipa nafasi hapa......

Ni kweli Bacha... For the simple reason kua jibu lilihitaji kitu realistic... sio tu kile ambacho ni kizuri masikioni kwa watu...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom