Mapenzi hisia - karibu tozogoe!

Mapenzi hisia - karibu tozogoe!

Dah! Nakumbuka nikiwa bado kabinti kadogo dogo nikapata mchumba huyo anasafiri safiri mikoani kikazi akawa ananitumia nauli, natoroka home naenda huko tunaenjoy weee ila akajaga kwenda mwanza alivyorudi sasa kushika simu yake kuna mdada akawa amemsave my wife na walikutana huko huko Mwanza, nilimind sema nilivyo mpumbavu akanidanganya huyo mdada kajisave mwenyewe so, mie nikatulia tukaendeleza gurudumu ila at the ending of the day, tuliachanaga. Huyu kijana sema alinipelekesha sana nikajua tutafika hata mbali dah! 😅😅 ngoja niishie hapo tu
 
Pole mdogo akee, yani kuna namna mapenzi yakinoga mtu unakua kama hamnazo hivi na yanakuendesha haswaaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom