Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 11,903
- 27,618
- Thread starter
- #41
Huwa nawaonea huruma watu maarufu namna mahangaiko yao ya kimahusiano yanaonekana hadharani.Yaani Acha tu, hawa vijana wa kiume wanajua kuharibu akili zetu
Sisi wengine tushukuru tu yetu yanabaki sirini, la sivyo sijui tungekua tunaficha wapi hizi nyuso.