Mapenzi hisia - karibu tozogoe!

Mapenzi hisia - karibu tozogoe!

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
11,763
Reaction score
27,155
Kitu gani ulikifanya wakati hisia za mapenzi zimekukolea ukikumbuka unajicheka mwenyewe?

Fight Club Hug GIF.gif

Kama hujawahi kuchanganywa na hisia - Jibu swali lolote kati ya haya tuzogoe;
  1. Ulifanya nini kumsahau mtu uliyempenda baada ya kuachana naye?

  2. Bado miezi minne mwaka uishe, vipi malengo yako yanaelekea kutimia au tutajaribu tena 2026?

  3. Wimbo gani unausikiliza on repeat wiki hii?

  4. Mara ya mwisho umeenda hospitali lini? (na ilikua kwa ajili ya matibabu, kutembelea mgonjwa au kufanya checkup?)
 
Hatutayaandika mengi humu kwa sababu mengine yanafedhahesha 🤣 .

Anyway, enzi za ujana niliwahi kusafiri kwa masaa 18 nikaenda kumsurprise mpenzi ila nilivyofika nikakuta naye yuko na mpenzi wake ambaye pia ni binamu yake wamelala kitandani. Ujinga niliofanya baada ya hapo siwezi kusimulia ila kiufupi sikuondoka, nilikaa wiki nzima na aliendelea kunidanganya na nikamuamini.

********
3. On repeat

Pawa

View: https://youtu.be/lrajSlyzCS4?si=gcDJpLx7Y7UGRUH7
 
Kitu gani ulikifanya wakati hisia za mapenzi zimekukolea ukikumbuka unajicheka mwenyewe?

View attachment 3425071

Kama hujawahi kuchanganywa na hisia - Jibu swali lolote kati ya haya tuzogoe;
  1. Ulifanya nini kumsahau mtu uliyempenda baada ya kuachana naye?

  2. Bado miezi minne mwaka uishe, vipi malengo yako yanaelekea kutimia au tutajaribu tena 2026?

  3. Wimbo gani unausikiliza on repeat wiki hii?
Huwa nawaza ujinga mwingi sana😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom