Mapenzi hayana umri

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
3,907
6,700
Mwanamke mwenye umri wa miaka 60 ameolewa na mvulana wa miaka 9.

"""Mwanamke huyo amesema Mapenzi hayana Umri, ameongeza kwa kusema wote wanaomsema na kumdhihaki hawajakutana na Mapenzi ya Kweli""
Hongereni

Unasemaje kuhusu hili..
FB_IMG_1652479247490.jpg
 
1. Ni utovu wa nidhamu mama mzazi au baba mzazi kumbusu mtoto wake wa kumzaaa mdomoni.

2. Kama sio maigizo, hao wanaotazama wote wanatakiwa kufungwa.

Ngoja nimuite babu Asprin awabadilishe vikojoleo vihamie usoni kwa kushadadia umajenuni....!😡.
 
Mwanamke mwenye umri wa miaka 60 ameolewa na mvulana wa miaka 9.

"""Mwanamke huyo amesema Mapenzi hayana Umri, ameongeza kwa kusema wote wanaomsema na kumdhihaki hawajakutana na Mapenzi ya Kweli""
Hongereni

Unasemaje kuhusu hili.. View attachment 2223610
Ndio muamini ule msemo wa WANAUME TUMEBAKI WACHACHE na kati ya hao wachache waliobaki HAKUNA MUOAJI!

Miaka yote hiyo 60 tokea kuzaliwa kwake hakubahatika kuolewa kutikana na zile kauli za NAHITAJI MWANAUME MWENYE GARI! Kwa sasa amepata funzo, hata mwanaume wa kujiegesha kwake kamkosa, bora atafute sehemu ya kuegamia ili kuuthibitishia ulimwengu kuwa naye aliolewa! Nasubiri kijana afikishe miaka 21 avunje ndoa!

Ujumbe:
Wanawake acheni dharau pale mnapopata nafasi za kuolewa! Zitumieni ipasavyo maake mko wengi saaaana hadi kero!
 
Yaani wanakuwaga na nyodo hao mwisho wake majonzi tuu...anyways vizuri tunaishia kuwagegeda
 
Kwani asingechapwa viboko huyo,
Maana hata kumfungulia kesi mahakamani watamuonea tu,

Kwa akili Kama hizo
 
Back
Top Bottom