Ila inasikitisha sana aisee.South, ila ni ya zamani sana, almost 10yrs ago.
Sipati picha kama angekuwa ni mwanaume amerukwa akili akaoa kabinti ka miaka 9 tena kwa harusi.Ila inasikitisha sana aisee.
Kweli kabisa eti Mkuu.Sipati picha kama angekuwa ni mwanaume amerukwa akili akaoa kabinti ka miaka 9 tena kwa harusi.
Dunia nzima ingepiga kelele kulaani, by now mtu angekuwa Lock up.