kifo kitamu
Member
- Jan 24, 2013
- 19
- 4
Nicas Mtei hebu nifafanulie jamaa amesemaje hapo juu.
Naona vogue na nyumba ya masaki na honda sijui nini
@
Zao la Kawambwa, Mulugo, na Ndalichako. Mitihan yenu mtarudia lini?
Nicas Mtei hebu nifafanulie jamaa amesemaje hapo juu.
Naona vogue na nyumba ya masaki na honda sijui nini
@
ha haaa, hapo nilichogundua ni kwamba hiyo Pangani....... alicopy sehemu sasa hata namna ya kupaste ni mgogoro, ndo maana yamejirudiarudia.....kwa kweli hata mimi cjaelewa hata kimoja. Inawezekana ni frustration za division zero zimesababisha huyu njuka aandike vituko
ha haaa, hapo nilichogundua ni kwamba hiyo Pangani....... alicopy sehemu sasa hata namna ya kupaste ni mgogoro, ndo maana yamejirudiarudia.....
Tutafika kweli?
Tutafikaje wakati vijana wenyewe ndio kama hao wanachora mazombi na Messi kwenye answer sheet?
Offtopic; hujambo teja? Miss u.
Nicas Mtei hebu nifafanulie jamaa amesemaje hapo juu.
Naona vogue na nyumba ya masaki na honda sijui nini
@
Zao la Kawambwa, Mulugo, na Ndalichako. Mitihan yenu mtarudia lini?
inaudhi inaudhi inaudhi....Tutafikaje wakati vijana wenyewe ndio kama hao wanachora mazombi na Messi kwenye answer sheet?
Offtopic; hujambo teja? Miss u.
Aisee hii tume ifanye kazi haraka!
Aisee hali si nzuri!
Hahaahahhaaaa aisee lol
Wazee wa sufuri
inaudhi inaudhi inaudhi....
inaudhi zaidi maana hata hao tuliowaamini watusaidie kupambana na elimu hawashtuki
hii inanikula sana kichwa...Elimu yetu imeshaingiliwa na siasa uchwara. Ndo inaangamia. Taifa linaendelea kuzalisha wajinga
hii inanikula sana kichwa...
yaani siamini kama kweli kizazi chetu ndo wajinga hivi? wameanza lini kuwa wajinga wakati sisi wazazi wao vipanga?
Kua na msimamo, kama hutaki kuniachia papuchi ludisha vogue na pangani zonda cinque roadster Pagani Zonda Cinque Roadster
Pagani Zonda Cinque Roadster
.
Nyumba ya masaki unaweza pangisha ikawa inakusaidia kupata pesa .