Mapenzi bwana

Mapenzi bwana

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,788
Reaction score
5,027
Ivi huyu demu ipo siku atanikubali uyu
Maana marafiki naona wanataka mimi nizidi kuzaraulika eti ni kaze puti tu ipo siku mtoto atahingia ndani
Nilihanza 2019 mpaka sasa mtoto ana nipiga chini
Ki ukweli mtoto na mpenda ila kajeuri kinoma
Wakubwa uyu kweli atanipendaga?
Kwa style ya maneno haya
received_4639106486178413.jpg
received_621889935719203.jpg
 
Back
Top Bottom