Wakuu shule zifunguliwe hawa watoto waende shule. We dogo tumia huu mudabwa likizo kwenda tuition usifuate ushaur wa Ndalichako elimu ya Tz inamtambua aliefaulu mtihani pekee iwe kwa uelewa au kwa kukariri au kwa kuiba mtihani. Ila mwenye uelewa mkubwa wa maarifa na akafeli mtihani basi mfumo unamtupa haumtambui kwahyo badala ya kukesha humu JF nenda kajisomee tuition na wenzakoIvi huyu demu ipo siku atanikubali uyu
Maana marafiki naona wanataka mimi nizidi kuzaraulika eti ni kaze puti tu ipo siku mtoto atahingia ndani
Nilihanza 2019 mpaka sasa mtoto ana nipiga chini
Ki ukweli mtoto na mpenda ila kajeuri kinoma
Wakubwa uyu kweli atanipendaga?
Kwa style ya maneno hayaView attachment 2048849View attachment 2048850
Mukuu tunaombaga huende kule ukamaloziyeile hadisi yakoNikusihi tu kwa huyo demu komaa maana mnafanana mihandiko na hakili zenyu zipo sahawa!.
Huyo ndo mkeho wa ndoha nawatakiha kila laheli na maisha yawanyohokee.
Mkuu ikija inatua mpaka mwisho wacha niipike vizuri ili tuepuke na yale ya nitarudi..😃Mukuu tunaombaga huende kule ukamaloziyeile hadisi yako