Mapenzi bwana

Mapenzi bwana

Ivi huyu demu ipo siku atanikubali uyu
Maana marafiki naona wanataka mimi nizidi kuzaraulika eti ni kaze puti tu ipo siku mtoto atahingia ndani
Nilihanza 2019 mpaka sasa mtoto ana nipiga chini
Ki ukweli mtoto na mpenda ila kajeuri kinoma
Wakubwa uyu kweli atanipendaga?
Kwa style ya maneno hayaView attachment 2048849View attachment 2048850
Huyo Binti mbona anaonekana anatoka makabila 2 tofauti?
 
Ivi huyu demu ipo siku atanikubali uyu
Maana marafiki naona wanataka mimi nizidi kuzaraulika eti ni kaze puti tu ipo siku mtoto atahingia ndani
Nilihanza 2019 mpaka sasa mtoto ana nipiga chini
Ki ukweli mtoto na mpenda ila kajeuri kinoma
Wakubwa uyu kweli atanipendaga?
Kwa style ya maneno hayaView attachment 2048849View attachment 2048850
Demu akisha kupa no yake ya cm tayari kakukubali 20%,Sasa ukimtumia sms akijibu jibu lolote liwe baya ama zuri hapo tayari zingine 20%,inakuwa 40% na zilizo Baki n ww ushapu wako tu ss.
 
Tupate Wadhamini Wetu Toka Studio
Wakati Unafanya Masahihisho Kwenye Andiko Lako
Kiswahili Ni Lugha Tamu Na Adhimu
Ipe Heshma Kwa Kuandika Vizuri
Hajui kuandika, yeye na mtongozwaji. Kwako Genta
 
Tukiachana na miandiko
Dem ambaye anakubali conversation na Mimi huyo lazima aishe

Visirani ni wale wanakujibu jibu moja kavu alafu hawaendelei tena
 
Shule angemaliza la tatu c basi angejua hata kuandika.
Nilichokigundua hapa ndege wafananao...........
 
Nikusihi tu kwa huyo demu komaa maana mnafanana mihandiko na hakili zenyu zipo sahawa!.
Huyo ndo mkeho wa ndoha nawatakiha kila laheli na maisha yawanyohokee.
Mkuhuu hata mihe nimehona akomahe tu!!
 
Aisee nyie ndo mmenichekesha sasa tafikiri mnakula mna ubwabwa wamoto mdomoni..!
Nanyi pia mnavinafasi vyenu mbinghuni..

wewe ndio ulianzisha yote haya
Sisi tumefata tuu so nafasi yako mbinguni iko pale pale
 
Shule angemaliza la tatu c basi angejua hata kuandika.
Nilichokigundua hapa ndege wafananao...........
Dunia ya sasa hata usipoenda shule utajifunza kupitia wengine
Silazima shule
Mimi nilijifundisha kusoma hakuna Mwalimu amewahi nifundisha kusoma

Nakumbuka nilimuomba dogo mmoja hivi kitabu chake Cha alfabeti yaani kile Cha a e i o u na nikaanza kusoma baadhi ya misamiati
Mf fyeka,Lima, kula hiyo ndiyo ikawa nitolee mkuu
 
😊😊😊😊😊
 
Back
Top Bottom