Mapenzi bwana

Mapenzi bwana

Tupate Wadhamini Wetu Toka Studio
Wakati Unafanya Masahihisho Kwenye Andiko Lako
Kiswahili Ni Lugha Tamu Na Adhimu
Ipe Heshma Kwa Kuandika Vizuri
Kabisaaaa kabisaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nikusihi tu kwa huyo demu komaa maana mnafanana mihandiko na hakili zenyu zipo sahawa!.
Huyo ndo mkeho wa ndoha nawatakiha kila laheli na maisha yawanyohokee.
Kabisaaaa wanafanana maana huo mwandikooo duuuh
 
Ivi huyu demu ipo siku atanikubali uyu
Maana marafiki naona wanataka mimi nizidi kuzaraulika eti ni kaze puti tu ipo siku mtoto atahingia ndani
Nilihanza 2019 mpaka sasa mtoto ana nipiga chini
Ki ukweli mtoto na mpenda ila kajeuri kinoma
Wakubwa uyu kweli atanipendaga?
Kwa style ya maneno hayaView attachment 2048849View attachment 2048850
Daaah Dem mwenyew mshamba huyo achana nao[emoji23][emoji23]
 
Kwa huo mwandiko, kuanzia thread, hizo sms ni kama mwenye simu mbili unajitumia na kujijibu mwenyewe..
 
Nikusihi tu kwa huyo demu komaa maana mnafanana mihandiko na hakili zenyu zipo sahawa!.
Huyo ndo mkeho wa ndoha nawatakiha kila laheli na maisha yawanyohokee.

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kenzy una nini wewe
 
Back
Top Bottom