Mapenzi basii

Mapenzi basii

mbn husem hyo mizng ni ya sh ngap.arrg m mwanaume kulala pesa namuona ----- cjui.na uckute alikua haomb akadhan utajiongeza.kumbe hujitambui.eh bint ka amua kufunguka.na hapo umeachwa wewe cyo yeye.
 
UUUUUPsiiiiiiii

sasa hivi yupo na bhana pesa
 
heeeee....aaah hapo sikubali,huo ni ubahili sasa....30 elf ya saluni ushindwe utaweza kunipa hela ya kula sasa?

Hahaha nimegundua nitaanza kutafuta kina Lupita nyong'o saivi...
 
Hahaha nimegundua nitaanza kutafuta kina Lupita nyong'o saivi...
Mkuu ubahili ni wa kwajili ya watu wa makete tu,

Hata hao malupita atakudai hela ya wigs...bado hujakimbia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom