miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
aisee acha kabisa
Naww upo katika kundi la kala pina?
Acha kuchukua wanafunzi mkuu
Ndio kundi gani hilo eti
tulivyoongea home haijatosha umeamua kuja kunisema huku JF
Wewe wanafunzi hautaki?
Muulize babu Aspirin
Hili linaonekana LICHOYO SANA.Mie mwenyewe mwanaume,ila umezidi.Hebu msaidie mwenzio labda anakua na shida
hela za mawazo tu wewe huna lolote....
ishia zako na ubahili wako achia wenzio wenyenazo
hahahaaa nipe angalau ya saluun jaman...hamkawii kusema tunanuka nywele
ukisema hivyo utaambiwa nyoa nywele hawakosi sababu hawa watu
!
!
he has to be a man about it.