Mapenzi basi tena

Hahahahaaaa biashara matangazo, eti kana jitangaza ili katongozwe.

Hunipatiii ki hvyoooooo.
 
Hawaujui mwili wangu

Pesa walikuwa wanakupa hivi hivi tu. Kupanga uongo ukakubalika ni kazi kubwa kuliko unavyofikiria. Kila wakati unaibuka na jipya. Sio wewe uliyetaka kufa? Umebadili mawazo?
 
Pesa walikuwa wanakupa hivi hivi tu. Kupanga uongo ukakubalika ni kazi kubwa kuliko unavyofikiria. Kila wakati unaibuka na jipya. Sio wewe uliyetaka kufa? Umebadili mawazo?

umri wa kuweweseka unasumbua tatizo
 
hakuna jipya hapo la kuanzisha topic zaidi ya promo
 
Mungu akubariki... ukizishika amri zangu na kuzifuata ww ni wangu... mungu aendelee kukusimamia maana safari ya wokovu ni ndefu utakutana na kila aina ya misukosuko.
 

Unaishi Tabata? Nahisi yule mbaba wa Verossa nyeusi wa lara1 amekupitia, si bure
 
Last edited by a moderator:
Kama anacare mbona hakujali kumtafutiaa kazi mdogo wako mpaka mapedesheeee walimtafutiaaa!!???

afu kuna jamaa anakutafuta kule chit chat, tokea juzi anahangaika hakupati..nenda kamsikilize japo kiduchu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…