Mapenz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapenz

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kingotenet, Oct 31, 2012.

 1. K

  Kingotenet New Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kanuni 10,za kumteka mwanamke
  1.Msifu km yeye ni mzur
  2.Changia hoja zke wakat wa maongez
  3.Weka utani
   
 2. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwa kanuni hizo huniteki ng'o!
   
 3. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Umri huu ?
  Utufundishe tongozo ?
  Nna mashaka na waliokukagua kuingia humu , yawezekana "toilet bribe" ilihusika .
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  Nov 1, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Unanchekesha source. FF eti kutongozwa siku hz ushamba huo na watoto wa dot.com FB, Twitter nk kuna huo muda wa kuhangaika?
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,134
  Likes Received: 1,450
  Trophy Points: 280
  Malizia basi kanuni mbona naona tatu tu? Afu kutongoza haimaanishi mapenzi per ce, wajua?
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,134
  Likes Received: 1,450
  Trophy Points: 280
  Heh, mbona mie na uzee huu matongozwa na kutongoza pia? Kuhangaika ndo ladha ya maisha.
   
 7. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,758
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  mmmh......hizi kanuni hizi!! Labda kwa under 18!
   
 8. W

  Wajad JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 872
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 60
  Mambo yote mkwanja tu bhana! Hakuna atakayesema no mbele ya chapaa.
   
 9. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 45,970
  Likes Received: 599
  Trophy Points: 280
  kwani wewe huwa unatongoza au kutongozwaje? teh teh teh!
   
 10. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #10
  Nov 1, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Shosti hiyo ndo dot.com uliona wapi enzi sie tunakuwa mwanamme akatongozwa????
   
 11. A

  ADK JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 946
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Mnh,. Kwenye sensa ya 2002 ratio ilikuwa moja kwa nne
  yaani mwanamume mmoja aliefikisha umri wa kuoa anatakiwa awe na wake wanne na sensa ya 2012 ponda kaizua nina imani tungesikia mapya.
  Hivyo kwa sasa wenye kazi ya kutongoza ni wanawake hii ni kwa mtazamo wangu
   
Loading...