mapenz ya digital

mapenz ya digital

lamaqswis

Member
Joined
Sep 21, 2013
Posts
18
Reaction score
2
msaada jaman...ivi mpenz wako kukusalimia shikamoo anapokua mbal na wew ana maanisha nn
 
heshima jamani.mbona ni salamu kama salamu nyengine.hasa kama mpz wako amekuzidi umri.tatizo tumeshazoea salamu za kidigital .za hallo babe.monie hubby n.k..
 
Kwani huwa ina maana nyingne zaidi ya salamu?
 
Maana yake kapata bwana mwingine mdogo kushinda wewe huko uliko

BRN mnasumbua sana humu ndani siku hizi
 
Back
Top Bottom