leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,331
- 1,736
Naskia ni mtu na shosti wake. Sasa mtu ni nani, shost nan mie sijui.. Nawe sikia km nilivyosikia mimiDuh, hawa ni akina nani tena!!!!!!!!!???????????
Naskia ni mtu na shosti wake. Sasa mtu ni nani, shost nan mie sijui.. Nawe sikia km nilivyosikia mimi
Kwa Mimi ungesema ujinga kweli kweli ningeelewaKaazi kwel kwel
Hilo ndilo Tatizo wakisha ukwaa (Ukimwi) wanazama KWA Serengeti boys masikini ya MunguDogo tafuna, lakini usitafune kiboya zana muhimu watangulizi wako afya zao haziaminiki..
Ofcz, imeeditiwa, nafikiri mleta maada kalenga furahisha barazaHivi hii picha ni edited au? Maana huko kijipodoa kwa mwanaume siko kabisa...