MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,707
- 71,005
Katibu mkuu wa Wizara husikaNani atajibu maswali bungeni?
Katibu mkuu wa Wizara husikaNani atajibu maswali bungeni?
Katika kukakibiliana na matumizi makubwa ya pesa kuendesha nchi rais JPM anakuaudia kuteuwa Baraza la lisilo na Mawaziri wadogo chanzo ndani ikulu kimeniambia.Magufuli ametaka kazi zifanywe na makatibu wakuu ambao kimsingi ni watalaamu.
Mh rais amehoji mbona wizara ya ulinzi imefanya vema bila waziri mdogo na kwa ufanisi sana.
My take; kwa kuwa manaibu waziri sio wajumbe wa vikao vya baraza ni vema iwe hivyo tuokoe pesa.
Bado ni tetesi kama itakuwa kweli tumpe hongera
Kusudi la vitu maalum ni jema. Ila tatizo vinatolewa kwa wasio stahili. Ccm na UKAWA walitazame hili kwa jicho kali. Mambo ya kuwapa vimada au watu fulani kama zawadi ni kuharibu lengo lilokusudiwa na ni ujinga mkuu.
Manaibu ni muhimu ila cha msingi anaweza kupunguza idadi ya wizara. Waziri kama hayupo kwa mfani bungeni nani atawakilisha wizara na utambue makati wakuu si wanasiasa na.hivyo hawawezi kujibu hoja bungeni.
Wa nini huyu anaangaika tu mikonteiner inapotea tu kama vile hayupo aiseemwigulu kahangaika sana yule jamaa,,aliacha jimbo lake na kuzunguka nchi nzima
Tumeshuhudia awamu zilizo pita katika uteuzi wa baraza la mawaziri tuliona awamu ya Benjamini alivyotumia 5 days tu na kutaja baraza lake la mawaziri pia tuliona Kikwete baada ya siku 14 tu akataja baraza lake toka alipo apishwa, leo cha kushangaza inakwenda siku ya 30 kimya toka aina ya Rais ambae watanzania waliomtaka aapishwe, lakini cha kutangaza mpaka leo hajatangaza baraza lake, na wala haonyeshi kama yuko na nia ya kutangaza baraza hilo.
Cha ajabu serikali ina endeshwa na watu 4 tu yaani rais magufuli, ombeni sefue , kasim majaliwa, na mwanasheria mkuu wa serikali , na tunaona serikali inakwenda vizuri sana tena wengi tunatamani hawa mawaziri wasiwepo kabisa , waendelee tu hayamajembe yetu, hii inaonyesha kuwa " kumbe inawezekana serikali kuongozwa na 4 people only.
Hongereni majembe
Nawasilisha hapa kazi tuu
Ni kwa sababu ndani ya CCM hakuna mtu msafi wote ni mafisadi na ndiyo maana walikuwa hawataki kuendeleza nchi matokeo yake wakawa wanabebana tu na kulindiana maslahi. Ila huyu Magufuli na kundi lake ni majembe haswa. Mie namuomba mwenyezi Mungu ambariki JPM abadili katiba ili tuwakamate marais waliopita na kuwafunga kwa kuhujumu nchi.
Kama Tanzania ni Dar peke yake waendelee tu.
Cha ajabu kipindi hiki ata lumumba hawajui nini kinaendelea jikoni..yaani ata kinana hajui kitu