Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

Kutokana na tabia za watawala zilivyo duniani kote, huteua mtu asiyejulikana au asiye na jina ili aweze kum-control awe yes man, kama JPM alivyotaka kufanya kwa TULI, ili amtumie kulituliza Bunge, nadhani mmenielewa.

Hivyo basi kwenye uwaziri mkuu hamtaamini. Ni jina msilolitarajia kabisa ndilo litakaloibuka. Rejea Mkapa alivyomwibua mtu aliyekuwa Waziri kwa mwaka 1 tu Tluway Sumaye.

Jina hili laweza toka Kanda ya Mashariki au Nyanda za Juu Kusini. io ziwani wala sio kaskazini.

Tukutane leo jioni hapa jamvini mtaniambia.
 
Kama tulivyokua tunasubiri mechi ya taifa stars matokeo yake kila mtu anayajua
 
Nape nnauye atazawadiwa unaibu waziri wa habari, vijana utamaduni na michezo. Kama zawadi.! Anyway, time will tell!
 
Kutokana na tabia za watawala zilivyo duniani kote, huteua mtu asiyejulikana au asiye na jina ili aweze kum-control awe yes man, kama JPM alivyotaka kufanya kwa TULI,ili amtumie kulituliza Bunge, nadhani mmenielewa. Hivyo basi kwenye uwaziri mkuu hamtaamini ni jina msilolitarajia kabisa ndilo litakaloibuka. Rejea Mkapa alivyomwibua mtu aliyekuwa Waziri kwa mwaka 1 tu Tluway Sumaye.

jina hili laweza toka kanda ya mashariki au nyanda za juu kusini. sio ziwani wala sio kaskazini.

Tukutane leo jioni hapa jamvini mtaniambia.

Majaliwa
 
Sababu ni kuwa ni hakubaliki kwa mwenyekiti wa chama, ana siri zake nyingi na alitolewa kwenye uwaziri wa miindombinu ili asiingilie uingizwaji wa mabehewa feki,

t
 
Back
Top Bottom