Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

kwa ccm hizo ndio sifa za kuwa kiongozi, kuwanyanyasa watu hasa wakiwa wapinzani na ukitaka kuwa waziri au kiongozi wa ccm wewe watukane viongozi wa upiinzani

Ndiyo siasa zetu bongo hizo,na ukitaka kuonekana kiongozi wa upinzani mzuri basi we muda wote we eleza matatizo ya chama tawala tu.
 
Kwa hiyo Deo Filikunjombe alikuwa chaguo la JPM kuwa waziri mkuu au ni maoni binafsi?

Kwa mujibu wa mastori ya kwenye Korido yule ndg ndio alikuwa anavaa hivyo viatu....Hadi sasa watu wanahoji hata namna ya ajali yenyewe huenda ilikuwa figisu...
 


Tuanze elimination

  1. Dr. Harrison Mwakyembe-ni too sensesional, a good preacher but don't practice what he preach!, just a populist!
  2. Sospeter Muhongo-anafaa sana!, ila ni dikteta!. Kwa vile Magufu pia ni dikteta!, hivyo dikteta plus dikteta..!
  3. William Lukuvi-huyu ni kiazi!, don't even think of him!.
  4. Kassim Majaliwa-akipewa labda kwa ajili tuu ya kubalance kwamba zaidi ya Dr. Salim, bado kuna Muislamu mwingine anaweza kuwa PM!, lakini kwa track record ya Tamisemi!, huyu ni totally unthinkable!.
  5. Mwigulu Nchemba-This is the man!, if not Januay for 2025 preparations !.
Kanisome niliwahi kusema nini kumhusu Nchemba!.
Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!


Pasco

Muhongo angekuwa mzuri lakini naona hawatawezana kwa kuwa wote ni wajuaji. Mwigulu could be the right choice kama wangekuwa na utaratibu wa kugroom viongozi ................!! January is not tough!!

Lakini kwa uzoefu wangu na CCM tegemea mtu anayeifahamu serikali vizuri. Magufuri amekuwa Waziri kwa miaka 15 lakini sidhani kama anaijua serikali vizuri. Hivyo lazima apandikiziwe mtu .... na huyo mtu ni Lukuvi!!!
 
Mkuu Pasco unashangaza sana
Huyu Mwigulu amelifanyia nini taifa kwa muda huu?
Mwigulu ni moja ya makada walio kuwa wanaua upinzani unakumbuka ile kesi ya uongo ya ugaidi Chadema?
Nani ali initiate?Hoja gani yenye maslahi ya taifa ambayo amewahi kuwasilisha bungeni?
Ninachokumbuka ni moja kati ya makada waliokuwa wana ongea pumba bungeni
 
Hata wangemchagua Ritz kwangu sioni shida kwa sababu ccm ni wale waleee lakini chonde chonde rais wetu usimchague Mwingulu tu. Hana sifa yeyote hata kisomo chake ni cha kuungaunga. Hata January anampiku kwani anavaa miwani

Duh!!!
 
Rais wangu mh. Magufuli pamoja na watu wako karibu wakiwemo washauri wako akiwemo mkwere anaye set remote yake akiwa msoga lakini masafa yake yakikamata ufukweni mwa bahari ya Hindi magogoni.....Kuhusu Nani anafaa kuwa wazir mkuu na asiyefaa pia....

Nayaandika haya nikiwa mwepesi na nisiye na chuki na mtu yeyote hapa ni mawazo na kupingwa si mbaya pia ni kuhusu kutapatapa kwa wanakyela weeengi na wanyakyusa kwa ujuimla kumpigia chapuo DR. HARRISON MWAKYEMBE ateuliwe kuwa PM wa JMT...kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo jf wamekuwa wakijinasibu kuwa waziri mkuu lazima atoke unyakyusani yaani huko Kyela...mimi naona ni ujinga mkubwa kwa wasomjua dr Mwakyembe....ngoja tuseme machache tuuu...

Dr. Mwakyembe alipokuwa kisaka ubunge kwa tiketi ya CCM 2005 amewahi kusababisha mpasuko mkubwa sana wa kisiasa na kijamii kwa kuleta fitina kubwa sana sana....

1. Alileta mpasuko na mgawanyiko kwa wanakyela kwa kuwafitinisha wanakyela na mbunge mstaafu ndg John Livingstone Mwakipesile na mkuu wa mkoa wa mbeya mstaafu...akisema mkuu huyo mstaafu anazuia maendeleo kyela kitu kilichowaaminisha wanakyela kuwa ni kweli(unga wa NDERE)

2. Amekuwa akipambana na wana CCM wenzake kwa kuwahujumu miradi yao ya kibiashara kisa wanaonesha nia ya kuwania kiti cha ubunge...mfano ni mzee mmoja ambaye sijayatambua majina yake halisi nimefanikiwa kupata la Mwakalinga ambaye ni mmiliki wa Kyela fm radio mpaka leo imefungwa kwa tamko la dr. mwakyembe najiuliza yeye kama nani???? hapa utagundua ni mtu wa fitna sana sana....amewahi kushiriki kuiba kura za maoni ndani ya CCM akishirikiana na kaka yake wa zanzibar naye aitwaye MWAKYEMBE hivyo hivyo.

3. Kioja cha ajabu sasa amepenga kwa sasa kupambana na wafanyabiashara wote wa soko kuu KYELA kuwa watamtambua kwa kuwa hawakumchagua yeye badala yake wanawachagua eti wakinga.,,,,,je huyu anafaaa kuwa kiongozi a taifa ambaye ana ubaguzi ni kweli ukienda soko la kyela wakinga ni wengi na wachapakazi kweli kweli lakini amepanga kuwanyoosha hii aliitamka mwwenyewe akiwa viwanja vya siasa wilaya ya kyela akishangilia ubunge wake na wanaccm wenzake nilikwenda pakwa sifa hizi hafai kuwa kiongozi wa kitaifa licha ya sifa zote hizi.....Kyela kupo hovyo haijawahoi kutokea,....MAGUFULI ATAIKWAA TU HAPA KWA MWAKYEMBE MAANA WANYAKYUSA WANAENDELEZA KAMPENI ZAO MITANDAONI HASA FACEBOOK PAGE YAO...BAADHI YENU ACHENI UKABILA HUO SINA CHUKI NAYE ILA ATAPATA SHIDA KUWAONGOZA WATU WASIOMTAKA KAMWE MWAKYEMBE NI MAFIA WASIOTABIRIKA AISEE NI WATU WENYE DHARAU SANA SANA...."MNALALAMIKA MAJI WKATI YAPO MTONI MENGI TENA YA BURE" "MSIPONICHAGUA MIE MIZUKA ITANICHAGUA TUU" NIMEMALIZA TAMBUA SINA CHUKI NA MWAKYEMBE ILA ANAYOWAFANYIA WANAKYELA NDIO YANANIFANYA NIANDIKE HAYA NILIKWENDA KULE KIPINDI FULANI NIKAONA HAYA...AMAUMIZA WATU WENGI SANA KIPINDI CHA KAMPENI ZAKE INAAMINIKA ALIKODI MAGENGE YA WAHUNI KUCHPA RAIA WANAOMPINGA JE ANAFAA HUYU???NIMEMALIZA MAOMBI YA WANYAKYUSA AWE PM ANGALAU WALE NAO NDIO KAULI MBIU KWA HII HAIFAI BANDUGU.....UTWAMBOMBOOOOOOO BANYAKYUUSA

Mkuu nimeshindwa kukutukana maana sjaona tusi linalokufaa kwa utumbo huu ila ww ni lofa na mpumba:vu
 
sitAjutia kupiga kura kama atamchagua mihongo kuwa waziri mkuu kma hata mchagua basi amuweke wizara ya nishati na mdini na maji aiseee atamsaidia sana coz umeme na maji ndo vinavyowagusa wananchi wa kawaida muhongo ni mtendaji
 
Back
Top Bottom