KUCHITIMBO1970
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 482
- 221
Kwa wingi wa hii mikataba feki
Tunahitaji waziri Mkuu awe mfuatiliaji sio wa kupiga blaa blaa nyingi kuliko matendo...lakini pia awe na uwezo mkubwa wa masuala ya kisheria
Nampa kura yangu Dr. Harrison Mwakyembe
Huyu ndo hamna kitu,tofauti na MUHONGO au LUKUVI maji yatamzidi.
Vipi kuhusu mabehewa mmesahau?.
Tofauti na hao wawili yatupasa kumhurumia.