1. Dr. Harrison Mwakyembe
2. Sospeter Muhongo
3. William Lukuvi
4. Kassim Majaliwa
5. Mwigulu Nchemba
Ccm ni ile ile hakuna jipya
Hujui chochote
Nyamaza mwana ukawa
Kitu kimojawapo kinachonipa imani kuwa Mh. Magufuli anaiwezea kazi yake ni hii kuwa hadi leo bado haijajulikana kuwa nani atakuwa waziri mkuu....! Tofauti na ilivyokuwa kwa Kikwete 2005....!1. Dr. Harrison Mwakyembe
2. Sospeter Muhongo
3. William Lukuvi
4. Kassim Majaliwa
5. Mwigulu Nchemba
CV yake ni sheeeda ana diploma!Jenister Mhagama je mnamuonaje katika uteuzi huu? Naamini anafaa pia japo CV yake ndo si ifahamu.
Huyu naambiwa hana elimu ya kutosha kuweza kushika wadhifa huo, pia ni mtu smart kujipendekeza kwa rais yeyote mpya. Kwa ujumla ktk list hii simuoni PM.Lukuvi mie simuelewagi kwa kweli
Anjelina Mabula mbunge wa Ilemela, yule mama kwakweli yupo vizuri sana na anafiti kwenye uwaziri mkuu haswaa!
Kwa mara nyingine nakuunga mkono kuwa mwigulu kama ilivyo kwa wengine wachache sana ndani ya bunge, anafaa. Huyu nilimheshimu kwenye bunge la katiba na kwa kweli ana uzalendo, ukiacha vijembe kwa wapinzani wake.