Mapendekezo ya sheria mpya

Mapendekezo ya sheria mpya

Pambafu kabisa wewe ukome kuleta ugay wenu huku mmeshauleta uvccm sasa unafikiri kila sehemu ni mahali pakuuleta

Nadhani sasa forum hii tunaitumia vibaya.tukifungiwa na serikali huwa wa kwanza kulalamika.tutumie forum hii kwa ajili ya kupashana habari,kuelimishana,kuonyana.kurekebisha n.k lakini matusi nadhani tunakokwenda si sahihi.tutumie fursa hizi vizuri wanajamii vinginevyo tumwombe moderator ablock junk zote humu ndani.
 
hii mada nimeisoma kwa jicho la nne lililoko kisogoni.
bila shaka wengi wetu tutasema sheria hiyo haifai na haito wezekana. Kwahiyo kama haito wezekana na kwa sababu haifai

raisi anapoteua iwe watu wa kanda yake dini&dhehebu lake, kabila marafiki basi kusiwepo malalamiko. Nimekuelewa sana
 
Mwenyewe umeona umeandika bonge la mada,kumbe poyoyo tu
 
Wanaosema Magufuli ni mkabila,ndio hao waliomsema JK ni.mdini
Watu wakikosa madaraka watafanya chochote tu kuharibu nchi
 
I’m right here.

Sasa hao wengine kama walikuwa karibu kustaafu they don’t figure into the equation.

Ila, wakati Mabeyo anateuliwa kuwa CDF yeye ndo alikuwa second in command kwa Mwamunyange.

Na hapo alikuwa ni luteni jenerali.

Kuna tofauti ya kuwa next in the line (ambayo ni Seniority) na kuwa Afisa Mnadhimu Mkuu...wale niliokutajia...kwa wakti ule kijeshi jeshi walikuwa senior kwa Mabeyo....General Mwakalindile alikuwa Mnadhimu Mkuu...ilipofika wakati wa kuteua CDF pamoja na kwamba alikuwa next to the retired CDF...hakuteuliwa yeye akateuliwa mwingine...unakumbuka?

So it is not automatic kwamba ukiwa Mnadhimu Mkuu then utakuwa CDF
 
Kuna tofauti ya kuwa next in the line (ambayo ni Seniority) na kuwa Afisa Mnadhimu Mkuu...wale niliokutajia...kwa wakti ule kijeshi jeshi walikuwa senior kwa Mabeyo....General Mwakalindile alikuwa Mnadhimu Mkuu...ilipofika wakati wa kuteua CDF pamoja na kwamba alikuwa next to the retired CDF...hakuteuliwa yeye akateuliwa mwingine...unakumbuka?

So it is not automatic kwamba ukiwa Mnadhimu Mkuu then utakuwa CDF

Mabeyo kabla ya kuwa CDF hakuwa mnadhimu mkuu?

Na Mwamunyange kabla ya kuwa CDF hakuwa mnadhimu mkuu?
 
Mabeyo kabla ya kuwa CDF hakuwa mnadhimu mkuu?

Na Mwamunyange kabla ya kuwa CDF hakuwa mnadhimu mkuu?
Mabeyo alikuwa mkuu wa MIS na akapandishwa akawa mnadhimu mkuu


Mwamunyange alikuwa mkuu wa jkt na kama sijakosea mwaka mmoja kabla ya cdf wa wakati ule kustaafu alipandishwa kuwa mnadhimu mkuu


Huyo jamaa hana fact
 
Toka rais Magufuli aingie madarakani kumekuwepo na kelele nyingi sana hususan humu JF za kwamba eti yeye ni mkabila na mkanda.

Kwamba eti yeye serikali yake imejaa Wasukuma na watu wengine wa kanda ya ziwa. Nimejaribu kwa muda mrefu sasa na bila mafanikio kuomba nipewe takwimu zinazothibitisha hayo madai lakini wapi!

Sasa jana na leo yameibuka ya CCM kama chama kutuhumiwa hayo mambo. Kwamba eti CCM sasa ni chama cha kikanda kwa sababu mwenyekiti mpya wa UVCCM eti ni mpwa wa Magufuli.

Mimi sijui kama kweli huyo mtu ni mpwa wa Magufuli au la. Bado nasubiri uthibitisho na/au maelezo zaidi juu ya hilo.

Ila kwa sasa ningependa kupendekeza jambo moja au mambo kadhaa, kutegemea na mtu utavyolichukulia suala lenyewe.

Ni hivi, napendekeza iundwe sheria itayokataza viongozi wa serikali, kuanzia rais hadi viongozi wengine wenye madaraka na mamlaka ya kuteua watumishi, kuteua watu wa makabila yao, imani zao za dini, madhehebu yao ya dini, jinsia zifananazo na zao, watu watokao kanda watokazo wao, marafiki zao, majirani zao, jamaa zao, na mambo mengine kama hayo ili kuondoa haya manung’uniko ya upendeleo wa hiyo misingi katika utumishi wa umma.

Yaani kwa mfano kwa mfano, kama Magufuli ni Mkristo na Mkatoliki basi ni marufuku yeye kuteua watu wa imani ya Kikristo na Wakatoliki wenzie. Vilevile, itakuwa ni marufuku yeye kuteua watu wa kanda ya ziwa....yaani hakuna cha kuteua Mnyamwezi, Msukuma, Mkurya, Mhaya, Mjaluo na wengineo wote watokeao huko hata kama wana sifa nzuri namna gani. Pia hakuna kuteua wanaume.

Ateue Wachaga, Wagogo, Wandengereko, Wapagani, Waislamu, wanawake, na wengine ambao hafanani nao kwa namna yoyote ile ukiondoa labda rangi ya ngozi tu.

Naamini kwa dhati kabisa kuwa sheria kama hii italeta usawa, italifurahisha taifa, na itaondoa kabisa ubaguzi na upendeleo kwenye utumishi wa umma.
we msukuma wa bariadi hapo ndio umeonyesha umbumbumbu na upunga. ndio maana huko marekani umeolewa kwasababu ya utupu kichwani wa aina hii. nyie sijui nani kawaloga, mnaweza tu kufunga ng'ombe.
 
Mabeyo alikuwa mkuu wa MIS na akapandishwa akawa mnadhimu mkuu


Mwamunyange alikuwa mkuu wa jkt na kama sijakosea mwaka mmoja kabla ya cdf wa wakati ule kustaafu alipandishwa kuwa mnadhimu mkuu


Huyo jamaa hana fact

Thank you!
 
Back
Top Bottom