Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,092
- 136,660
- Thread starter
- #41
Hahahahaha endelea kubana pua "usa baby!!!!" Uone moto ukirudi huku tukomaze hizo saburi
Gay Pangolin unawashwawashwa!
Hahahahaha endelea kubana pua "usa baby!!!!" Uone moto ukirudi huku tukomaze hizo saburi
Naona hao wazungu unaowabania pua "usa baby!!!!!" Hawakutoshelezi tunakusubiri uje huku utubanie pua "kolomije baby" tukushughulikie ipasavyoGay Pangolin unawashwawashwa!
Naona hao wazungu unaowabania pua "usa baby!!!!!" Hawakutoshelezi tunakusubiri uje huku utubanie pua "kolomije baby" tukushughulikie ipasavyo
Uteuzi wa General Mabeyo hauhusiani na upuuzi unaotajwa/unaosemwa.....isipokuwa ni kweli walikuwepo Senior Generals kwa Mabeyo...wao walipewa ubaloziNdo maana niliwauliza wale waliodai kuwa mkuu wa majeshi alipoteuliwa kwamba aliteuliwa kwa msingi wa ukabila....mie nikahoji kwamba baada ya Jen. Mwamunyange ni nani aliyekuwa next in line?
Mpaka leo sijapewa jibu!
Ukabila ni nini? Kwamba watu wanaotoka kabila moja wananishi pamoja, wanafanya kazi eneo moja (au maeneo tofauti ila wanafanya kazi ya aina moja -mf ualimu), kwamba watu wa kabila moja wanasoma masomo ya aina moja, na kadhalika? Ukipata fasili ya 'ukabila' utafuta bandiko lako lote.tutakua tumetibu hili suala la ukabila linaloonekana kukua kwa kasi sana
Ni hivi, napendekeza iundwe sheria Vilevile, itakuwa ni marufuku yeye kuteua watu wa kanda ya ziwa....yaani hakuna cha kuteua Mnyamwez....na wengineo wote watokeao huko hata kama wana sifa nzuri namna gani. Pia hakuna kuteua wanaume.
Kwenye somo la uhasibu kuna topic ya 'correction of errors' kwa nini ninyi hamtaki kuisoma/kuielewa?Ukabila na ukanda ulikuwa ukisemwa uvunguni na ukipigwa vita sana. ila sasa ni nje nje
Uteuzi wa General Mabeyo hauhusiani na upuuzi unaotajwa/unaosemwa.....isipokuwa ni kweli walikuwepo Senior Generals kwa Mabeyo...wao walipewa ubalozi
Mabeyo ndo alikuwa mnadhimu mkuu. Alikuwa ni luteni jenerali...mwenye nyota tatu. Mwamunyange alikuwa jenerali mwenye nyota nne.
Ni nani mwingine alikuwa senior zaidi ya Mabeyo? Au unamaanisha senior kivipi? Umri?
Kama ni rank, ni nani alikuwa juu ya mnadhimu mkuu kama siyo CDF?
Ni rank ndio nazungumzia....Infact walikwepo watatu amabo walikuwa Senior kwa Mabeyo...nao ni Lt Gen Kisampa, Lt Gen Mella na Lt Gen Makakala....wakati huo Mabeyo alikuwa Maj General...hao majamaa umri wao wa kustaafu ulikuwa nikaribu sana...

Neno moja linaweza kuwa na tafsiri mbali mbali inategemea ni wapi linatumika, wakati gani linatumika na akina nani wanalinatumia, usikariri mkuu.Ukabila ni nini? Kwamba watu wanaotoka kabila moja wananishi pamoja, wanafanya kazi eneo moja (au maeneo tofauti ila wanafanya kazi ya aina moja -mf ualimu), kwamba watu wa kabila moja wanasoma masomo ya aina moja, na kadhalika? Ukipata fasili ya 'ukabila' utafuta bandiko lako lote.
Ni rank ndio nazungumzia....Infact walikwepo watatu amabo walikuwa Senior kwa Mabeyo...nao ni Lt Gen Kisampa, Lt Gen Mella na Lt Gen Makakala....wakati huo Mabeyo alikuwa Maj General...hao majamaa umri wao wa kustaafu ulikuwa nikaribu sana...
Nyani the Ngabu upoo?😀
Wewe acha kujibaraguza, toa fasili [unayoijua wewe] husika kama hujui kaa kimya!Neno moja linaweza kuwa na tafsiri mbali mbali inategemea ni wapi linatumika, wakati gani linatumika na akina nani wanalinatumia, usikariri mkuu.
Unawashwa makalio Sophia?Wewe acha kujibaraguza, toa fasili [unayoijua wewe] husika kama hujui kaa kimya!