Mapendekezo ya sheria mpya

Mapendekezo ya sheria mpya

Udini na Ukabila ni mbaya mno! haki sijui kwanini watu hawasemi mtu kachaguliwa kwa uwezo wake na siyo ukabila,Yaani tunapenda kukisia tu vitu vya ajabu.Hii sheria hata ikiwekwa watalalamika tu maana ndivyo walivyozoea.

Ingekuwa ni mimi...na kwa vile mimi ni Ngosha...basi ningekuwa nachagua mabebz wa Kichaga tu!

Sijui na hapo bado ningelaumiwa tu!
 
Oh mazee kama una maboresho we yaweke tu hapa!
Kama ilivyoandikwa mtu hataishi kwa mkate tu, vile vile mtu hataishi kwa sheria tu.

Hususan kama sheria yenyewe inalenga kwenye kejeli kuliko ukweli.
 
Mkuu mleta mada, huoni kufanya hivyo ndiyo itakuwa tunatengeneza Taifa lenya ukabila wa hali ya juu? Je, kutomteua mtu mwenye sifa na vigezo katika nafasi za utumishi wa uma kwa sababu ya kabila lake si ndio ukabila wenyewe?

Ndo maana niliwauliza wale waliodai kuwa mkuu wa majeshi alipoteuliwa kwamba aliteuliwa kwa msingi wa ukabila....mie nikahoji kwamba baada ya Jen. Mwamunyange ni nani aliyekuwa next in line?

Mpaka leo sijapewa jibu!
 
Haijengi ila inabomoa zaidi, Elimu ndo mkombozi wa yote, watu wanapaswa kuzungumzia uwezo wa kiutendaji zaidi ya personal issues
Ni kweli mkuu.

Hizo kanda zinazolalamika hawakuzingatia elimu wakati walipokuwa darasani.
Sasa weledi wanatambuliwa na kuteuliwa halafu eti wao wanaanza kulalamika.

Uteuzi ufanyike kwa wenzi sifa za kitaaluma tuu.

Mbona wao wamekimbilia ktk biashara na kilimo hawalalamikiwi?

Rudini kusoma amrateuliwa.
 
Toka rais Magufuli aingie madarakani kumekuwepo na kelele nyingi sana hususan humu JF za kwamba eti yeye ni mkabila na mkanda.

Kwamba eti yeye serikali yake imejaa Wasukuma na watu wengine wa kanda ya ziwa. Nimejaribu kwa muda mrefu sasa na bila mafanikio kuomba nipewe takwimu zinazothibitisha hayo madai lakini wapi!

Sasa jana na leo yameibuka ya CCM kama chama kutuhumiwa hayo mambo. Kwamba eti CCM sasa ni chama cha kikanda kwa sababu mwenyekiti mpya wa UVCCM eti ni mpwa wa Magufuli.

Mimi sijui kama kweli huyo mtu ni mpwa wa Magufuli au la. Bado nasubiri uthibitisho na/au maelezo zaidi juu ya hilo.

Ila kwa sasa ningependa kupendekeza jambo moja au mambo kadhaa, kutegemea na mtu utavyolichukulia suala lenyewe.

Ni hivi, napendekeza iundwe sheria itayokataza viongozi wa serikali, kuanzia rais hadi viongozi wengine wenye madaraka na mamlaka ya kuteua watumishi, kuteua watu wa makabila yao, imani zao za dini, madhehebu yao ya dini, jinsia zifananazo na zao, watu watokao kanda watokazo wao, marafiki zao, majirani zao, jamaa zao, na mambo mengine kama hayo ili kuondoa haya manung’uniko ya upendeleo wa hiyo misingi katika utumishi wa umma.

Yaani kwa mfano kwa mfano, kama Magufuli ni Mkristo na Mkatoliki basi ni marufuku yeye kuteua watu wa imani ya Kikristo na Wakatoliki wenzie. Vilevile, itakuwa ni marufuku yeye kuteua watu wa kanda ya ziwa....yaani hakuna cha kuteua Mnyamwezi, Msukuma, Mkurya, Mhaya, Mjaluo na wengineo wote watokeao huko hata kama wana sifa nzuri namna gani. Pia hakuna kuteua wanaume.

Ateue Wachaga, Wagogo, Wandengereko, Wapagani, Waislamu, wanawake, na wengine ambao hafanani nao kwa namna yoyote ile ukiondoa labda rangi ya ngozi tu.

Naamini kwa dhati kabisa kuwa sheria kama hii italeta usawa, italifurahisha taifa, na itaondoa kabisa ubaguzi na upendeleo kwenye utumishi wa umma.

Hiyo hoja ni dhaifu kweli kweli.Mm ckutegemea humu ndani ajenge hoja ya kiubaguzi kama hiyo.kama mkatoliki anasifa asiteuliwe uongozi ati sababu tu ni mkatoliki huo ni uendawazima.ndugu yangu akiwa na sifa asipewe madaraka hiyo haikubaliki.tafuta hoja zingine na siyo hoja nyepesi kama hiyo.
 
Ateue Wachaga, Wagogo, Wandengereko, Wapagani, Waislamu, wanawake, na wengine ambao hafanani nao kwa namna yoyote ile ukiondoa labda rangi ya ngozi tu.

Huna lengo lingine lolote , wala hakuna mapendekezo ya Sheria ulitaka tu utaje Wachaga tu basi mkuu........
 
It doesn't make sense...kama wana uwezo wasipewe fursa? Njoo na improved version.
 
Toka rais Magufuli aingie madarakani kumekuwepo na kelele nyingi sana hususan humu JF za kwamba eti yeye ni mkabila na mkanda.

Kwamba eti yeye serikali yake imejaa Wasukuma na watu wengine wa kanda ya ziwa. Nimejaribu kwa muda mrefu sasa na bila mafanikio kuomba nipewe takwimu zinazothibitisha hayo madai lakini wapi!

Sasa jana na leo yameibuka ya CCM kama chama kutuhumiwa hayo mambo. Kwamba eti CCM sasa ni chama cha kikanda kwa sababu mwenyekiti mpya wa UVCCM eti ni mpwa wa Magufuli.
Mimi sijui kama kweli huyo mtu ni mpwa wa Magufuli au la. Bado nasubiri uthibitisho na/au maelezo zaidi juu ya hilo.

Ila kwa sasa ningependa kupendekeza jambo moja au mambo kadhaa, kutegemea na mtu utavyolichukulia suala lenyewe.

Ni hivi, napendekeza iundwe sheria itayokataza viongozi wa serikali, kuanzia rais hadi viongozi wengine wenye madaraka na mamlaka ya kuteua watumishi, kuteua watu wa makabila yao, imani zao za dini, madhehebu yao ya dini, jinsia zifananazo na zao, watu watokao kanda watokazo wao, marafiki zao, majirani zao, jamaa zao, na mambo mengine kama hayo ili kuondoa haya manung’uniko ya upendeleo wa hiyo misingi katika utumishi wa umma.

Yaani kwa mfano kwa mfano, kama Magufuli ni Mkristo na Mkatoliki basi ni marufuku yeye kuteua watu wa imani ya Kikristo na Wakatoliki wenzie. Vilevile, itakuwa ni marufuku yeye kuteua watu wa kanda ya ziwa....yaani hakuna cha kuteua Mnyamwezi, Msukuma, Mkurya, Mhaya, Mjaluo na wengineo wote watokeao huko hata kama wana sifa nzuri namna gani. Pia hakuna kuteua wanaume.

Ateue Wachaga, Wagogo, Wandengereko, Wapagani, Waislamu, wanawake, na wengine ambao hafanani nao kwa namna yoyote ile ukiondoa labda rangi ya ngozi tu.

Naamini kwa dhati kabisa kuwa sheria kama hii italeta usawa, italifurahisha taifa, na itaondoa kabisa ubaguzi na upendeleo kwenye utumishi wa umma.[/Q
Tribalism overrules reason and makes risky times More Dangerous
 
Attachments

  • tribal war.jpg
    tribal war.jpg
    48 KB · Views: 31
Toka rais Magufuli aingie madarakani kumekuwepo na kelele nyingi sana hususan humu JF za kwamba eti yeye ni mkabila na mkanda.

Kwamba eti yeye serikali yake imejaa Wasukuma na watu wengine wa kanda ya ziwa. Nimejaribu kwa muda mrefu sasa na bila mafanikio kuomba nipewe takwimu zinazothibitisha hayo madai lakini wapi!

Sasa jana na leo yameibuka ya CCM kama chama kutuhumiwa hayo mambo. Kwamba eti CCM sasa ni chama cha kikanda kwa sababu mwenyekiti mpya wa UVCCM eti ni mpwa wa Magufuli.

Mimi sijui kama kweli huyo mtu ni mpwa wa Magufuli au la. Bado nasubiri uthibitisho na/au maelezo zaidi juu ya hilo.

Ila kwa sasa ningependa kupendekeza jambo moja au mambo kadhaa, kutegemea na mtu utavyolichukulia suala lenyewe.

Ni hivi, napendekeza iundwe sheria itayokataza viongozi wa serikali, kuanzia rais hadi viongozi wengine wenye madaraka na mamlaka ya kuteua watumishi, kuteua watu wa makabila yao, imani zao za dini, madhehebu yao ya dini, jinsia zifananazo na zao, watu watokao kanda watokazo wao, marafiki zao, majirani zao, jamaa zao, na mambo mengine kama hayo ili kuondoa haya manung’uniko ya upendeleo wa hiyo misingi katika utumishi wa umma.

Yaani kwa mfano kwa mfano, kama Magufuli ni Mkristo na Mkatoliki basi ni marufuku yeye kuteua watu wa imani ya Kikristo na Wakatoliki wenzie. Vilevile, itakuwa ni marufuku yeye kuteua watu wa kanda ya ziwa....yaani hakuna cha kuteua Mnyamwezi, Msukuma, Mkurya, Mhaya, Mjaluo na wengineo wote watokeao huko hata kama wana sifa nzuri namna gani. Pia hakuna kuteua wanaume.

Ateue Wachaga, Wagogo, Wandengereko, Wapagani, Waislamu, wanawake, na wengine ambao hafanani nao kwa namna yoyote ile ukiondoa labda rangi ya ngozi tu.

Naamini kwa dhati kabisa kuwa sheria kama hii italeta usawa, italifurahisha taifa, na itaondoa kabisa ubaguzi na upendeleo kwenye utumishi wa umma.
Kuwarais hakukupi fursa kutua jamaa wenye nasaba na kabila lako najifunza kutoka kwa USA wao wanateua kama sisi? je wanahakikisha wagombea wanakuwa kama sisi?
 
Itakuwa shuguli. Inasemekana 25% ya watanzania ni wasukuma/wanyamwezi, ndo maana wanasemaga huwezi shinda uraisi nchini bila kura za Hawa jamaa. Watoto wamjini wanawaita wachina wa Tanzania. Hakuna utakako katiza bila kukutana nao. Na uzuri kwa vile wako nyuma kidogo kielimu, wanaendelea kuzaa kwa idadi na kasi ile ile ya mabibi zetu.

Kwahiyo hizi kelele za ukabila nadhani ni chama fulani kilichoundwa kwa misingi ya ukabila kinajaribu kusema kuwa sio wao tu, hata wale pia ni wakabila.

Hivi nisehemu gani Tanzania ambapo haipati teuzi? Mpaka Handeni kwa mara ya kwanza imetoa naibu waziri. Labda kwetu tu kule Nkasi.

Hivyo Kama takwimu za idadi ya Hawa watu ni sahihi, inamaana kwa kila wateule 4, 1 atakuwa msukuma/mnyamwezi. Haijalishi mteuzi ni msukuma au mchaga.

Hata kabla ya Magu walikuwepo japo hawakuvuma.

Uzuri wao ni wachapa kazi na hawana asili ya tamaa kama wale jamaa zetu. Tuache fikra potofu za kuendekeza ukabila. Tuwahukumu kwa matokeo ya kazi zao.
 
Boss Nyani Ngabu Maoni mazuri sana, ila je, Watu wa Kabila, Kanda au Dini unayotoka wakiwa wamekidhi vigezo vyote, Je asiwateue???

Maoni na Ushauri wangu, Rais au Boss yoyote mwenye mamlaka ya uteuzi, kikubwa waangalie Vigezo, Pili waangalie Balance au Uwiano, hii iendane na jinsia (Me na Ke). Tatu waangalie Uzoefu aka Experience. Mwisho ndio anaweza kutumia Busara na Hekima kama amepewa.

Back
Top Bottom