Voice of Mara
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 358
- 127
mgombea ubunge jimbo la Musoma mjini napia Mwenyekiti wa chadema Mkoa wa mara.amezidi kutikisa mji wa Musoma katika muendelezo wa kampeni zake anazofanya kata tofauti,na muonekano kuonesha katika uchaguzi anaweza kushinda mapema sna kuliko hata uchaguzi uliofanyika 2010.tazama picha mbali mbali ya mkutano aliofanya jana kata ya Kitaji👇na leo atakwa kata ya Kwangwa kuendelea kusema na wakazi wa kata hiyo napia kuomba kura yake pamoja namadiwani na rais kupitia tiketi ya Ukawa.....
