Bajeti tuliyonayo ni ya Kikwete. Ya Magufuli itaanza tarehe 1 july 2016. Ukitaka kumpima Magufuli mpime kwenye makusanyo ya July mwaka huu.
Siongelei bajeti....naongelea revenue collection..makusanyo,soma vizuri wewe killa.zaBajeti tuliyonayo ni ya Kikwete. Ya Magufuli itaanza tarehe 1 july 2016. Ukitaka kumpima Magufuli mpime kwenye makusanyo ya July mwaka huu.
Si swala la lumumba. Kikwete alikaa vipindi viwili. Ni haki Magufuli akae mpaka 2025 amalize majipu.Haaa. Lumumba moja iyoo. Hta kama akiwa raic milele kama mseven hakuna shida. Naomba turudi kwenye point ya mapato TRA.
Mbona ttz inaongeza idadi ya mataila wengi kama nyie? Kisa kikwete alikaa had 2015 so ni haki magu akae 2025? Wewe unajua hta maana ya "haki" kweli????Si swala la lumumba. Kikwete alikaa vipindi viwili. Ni haki Magufuli akae mpaka 2025 amalize majipu.
Makusanyo yatapandaje wakati uchumi unashuka.TRA wapo sawa maana wanapanga kulingana na hali halisi ya uchumi inavyoenda.Uchumi unazidi kudoda kwa hiyo lazima na makadirio yawe yanashuka chini.Hiyo ni direct proportion sion inversely proportionTRA ni wajanja wanaweka makadirio madogo ili waweze kuvuka makadirio yao.Ni kwanini makusanyo yanazidi kupungua mwezi baada ya mwezi? kama awatuhadai wangetakiwa waweke malengo makubwa kuliko mwezi wa mwisho kukusanya mapato.Mfano Mei wamekusanya trillion 1.02 malengo ya mwezi june yanatakiwa yazidi mapato ya mwezi may.
Lakini wanatuhadaa kwa kupunguza kiwango.
Wewe unaombea/unalazimisha mapato yashukeKumekuwa na maporomoko makubwa ya mapato ya TRA kutoka trilioni moja na bilioni mia nne Mwaka Jana wakati serikali ya awamu ya tano inaingia madarakani mpaka trilioni moja mwezi wa tano.Ni wazi mwezi wa sita TRA watatangaza mapato ya bilioni 900. Tunarudi kulekule kwa JK.
Ni ishara kwamba JK hakuwa mzembe bali mapato yalienda na upepo wa biashara,mwanzoni tuliaminishwa kwamba kuna wizi sijui wapi,sasa mbona na udhibiti wote ndani ya miezi sita mapato yameshuka kwa bilion 400? Zinakwenda wapi?zimepotelea wapi?
Kuna mtu Mwenye ubavu wa kuzikosoa jitihada za Kikwete kwenye kukusanya mapato na aamke nimuone.
Saa nyingine huwa nashindwa hata kukuelewa mkuu. Mtu kaja na mchanganuo wa jinsi mapato yanavyopungua we unajibu kirahis rahis tu. Njaa ikizid sana utafikiria kwa Tumbo mkuu badala ya kichwaMkuu, hizo ni hisia zako tu ila ukweli unabaki kwamba TRA wanakusanya mapato kwa kuvuka malengo yao
Ndio maana nimesema wanatudanganya wakisema wanavuka lengo.Wanatakiwa kutumia makusanyo ya mwezi uliopita kama kiwango chao cha chini.Makusanyo yatapandaje wakati uchumi unashuka.TRA wapo sawa maana wanapanga kulingana na hali halisi ya uchumi inavyoenda.Uchumi unazidi kudoda kwa hiyo lazima na makadirio yawe yanashuka chini.Hiyo ni direct proportion sion inversely proportion
CCM WANAHANYA SASA ETI HAPA KAZI WAKATI UONGOZI UMEWASHINDA HADI NJE INAONGOZWA KWA MAWAZO YA RAISI BILA KUFUATA KATIBA
Mkuu, hizo ni hisia zako tu ila ukweli unabaki kwamba TRA wanakusanya mapato kwa kuvuka malengo yao
UTAKUWA MGONJWA WEWE UKALE MATUNDA UONEJitahidi kuandika vizuri mkuu maana hujaeleweka kabisa
kwani kodi bado anakusanya kikwete ?Bajeti tuliyonayo ni ya Kikwete. Ya Magufuli itaanza tarehe 1 july 2016. Ukitaka kumpima Magufuli mpime kwenye makusanyo ya July mwaka huu.
Ili mapato yaongezeke itabidi watoe EFD kwa machinga na maa nitilie.Kumekuwa na maporomoko makubwa ya mapato ya TRA kutoka trilioni moja na bilioni mia nne Mwaka Jana wakati serikali ya awamu ya tano inaingia madarakani mpaka trilioni moja mwezi wa tano.Ni wazi mwezi wa sita TRA watatangaza mapato ya bilioni 900. Tunarudi kulekule kwa JK.
Ni ishara kwamba JK hakuwa mzembe bali mapato yalienda na upepo wa biashara,mwanzoni tuliaminishwa kwamba kuna wizi sijui wapi,sasa mbona na udhibiti wote ndani ya miezi sita mapato yameshuka kwa bilion 400? Zinakwenda wapi?zimepotelea wapi?
Kuna mtu Mwenye ubavu wa kuzikosoa jitihada za Kikwete kwenye kukusanya mapato na aamke nimuone.
Makusanyo yatapandaje wakati uchumi unashuka.TRA wapo sawa maana wanapanga kulingana na hali halisi ya uchumi inavyoenda.Uchumi unazidi kudoda kwa hiyo lazima na makadirio yawe yanashuka chini.Hiyo ni direct proportion sion inversely proportion
Tatizo lako elimu elimu elimu..Mkuu Lizaboni:
Ni TRA wenyewe ndio wanao jiwekea hayo malengo na hakuna anae wahakiki, sidhanì kama hilo ni sawa.
Lakini mwelekeo unaonyesha ya kwamba makusanyo ya kila mwezi yanapungua, ni wazi mtu yeyote ataanza kujiuliza na kutafuta sababu...kulikoni?
OohpsEndeleeni kujiaminisha hilo. Mtasugua sana maana Magufuli ni Rais hadi 2025