Mapapa 560 wa Madawa ya Kulevya watajwa. Wamo Morine Amatus Liyumba na mdogo wa Rostam Aziz

Jamuhuri nao wanatafuta umaarufu wa kijinga...hivi hapo kuna PAPA wa madawa kweli yaani unatuletea hawa watoto wa mtaani ambao hata hawajui kinachoendelea nyuma ya hii biashara!!,zaidi ya wao kubebeshwa vipaseli kwenda kuuza huko mtaani hakuna wanalojua hao.

tuache masikhara kama anayofanya Mwakyembe pale uwanja wa ndege sasa hivi.
 
To be honesty, I am astounded by you mkuu, ulitaka waziri mwakyembe afanyeje?
 
Jamuhuri nao wanatafuta umaarufu wa kijinga...hivi hapo kuna PAPA wa madawa kweli yaani unatuletea hawa watoto wa mtaani ambao hata hawajui kinachoendelea nyuma ya hii biashara!!,zaidi ya wao kubebeshwa vipaseli kwenda kuuza huko mtaani hakuna wanalojua hao.

tuache masikhara kama anayofanya Mwakyembe pale uwanja wa ndege sasa hivi.
hakuna jipya kwenye orodha hii zaidi ya kuwa ni njama ya kuufunika ukweli halisi watu wameshakuchukua mshiko kwa shughuli hii toka kwa hao mapapa halisi siyo hivi vidagaa ndiyo maana mara kwa mara inaletwa jamvini kwa staili hii washiriki ku-support kwa ghiriba ili kuwapoteza watu mwelekeo.

Pia IQ za wengi wa hawa mnaowaita wauza unga ni ndogo sana,hawafikirii kitu hawa wapumbavu yaani mtu unakuta anafamiliya yake haogopi kufungwa na kuiacha family yake inateseka.

Nina rafiki mmoja yeye kazi ni kufungwa tu kila siku,mara kafungwa italy mara england mara south america mara north america,yaani kazi ni kufungwa tuu na huku akiiacha family yake inaishi bila ya yeye kuwepo nyumbani.

Ndugu zanguni hii ni issue moja nyeti sana hii serikali yetu inabidi kulifanyia kazi hili suala la kusikitisha ,tamaa mashindano na kujionyesha pia kunachangia sana kwa watu kutaka kujihusisha na hii biashara chafu.Utajiri haupatikani namna hiyo, elimu ndogo nayo inachangia sana kwa watu kujihusisha na hiyo biashara.

Hebu angalieni siku hizi kinachoendelea hapa nchini karibu kazi zote zinazolipa vizuri zinahitaji mtu awe na elimu ya maana kwa hiyo wasiokuwa na hiyo elimu nao kutaka mashindano na wasomi nao wanaingia katika biashara hiyo haramu ili kujishindanisha na wasomi ambao ndio tabaka lililoshika uchumi wote nchini.
 
Hapo kwenye List Sijaona jina la yule MAMA PAROKO mwenye JUMBA kubwa.

Mpambe mzuri tu wa CHAMA cha Siasa!

Hujifanya ana uchungu sana na Nchi hii kumbe NI ADUI MBAYA muuza Unga wa Sembe!

Amejenga jumba la KIFAHARI kwa biashara haramu halafu akisingizia ni michango ya PAROKO kumbe UNAFIKI TU!

Umemsahau na yule sheikh maarufu mtoa misaada,ni mtu wa swala 5 kumbe ni mnafiki mkubwa. Kwa sembe huyo ni balaaaa, nafikiri unajua adhabu ya wanafiki
 
Huyo lzm atakuwa mjomba wako manake wengi hatumjui.
Lkn MAMA PAROKO NI MAARUFU SANA. Hakuna asie mjua.

Ana mwili mkubwa hivi ka kiboko kavishwa VITENGE! Hupenda kupiga kelele sana Bungeni na KANISANI kwake!
Mnafiki Muuza Sembe! Siku tukikamata kizibiti Tunaenda kumfungia chumba Kimoja na yule NYANI DUME! na vile VITENGE tunaondoka navyo!

Tuone sasa kati yake na NYANI DUME nani ZAIDI!

Nyambafff kelbu!

Hata sisi hatumjui huyo mama paroko unaemzungumzia labda umeamua kumuanika shangazi,afu paroko ni padri sasa kiutaratibu hakuna padri mwanamke..! Acha unafiki kahtaani utaishia kwenye tabaka la chini la moto siku ya qiyyama maana ndo panapowastahili wanafiki
 
We kama humjui MAMA UPAKO basi Utakuwa ni wale WAHUTU waliokimbia kwao.
Wakazi HARAMU wa Nchi yetu.

Nikikupata wewe! Utaogelea kurudi kwenu!

Hili jumba kamuulize PADRI WAKO km Anatambua mwenye mali ni nani.
Lbd utaelewa! Mtoto mdomo wako NAJISI SANA.

http://3.bp.blogspot.com/--N1ZB2U58PY/UD0Ll9OOVlI/AAAAAAABqss/wJQh_viPzR8/s640/IMG_1153.JPG

Bora mimi mdomo wangu ni najisi ndogo lakini mdomo wako wewe ni najisi kubwa, siwezi kujua wamiliki wa kila nyumba hapa nchini hiyo ni kazi ya wanafiki kama wewe kahtaani..!
 
Ndo nikasema nyie banyamulenge mlijifunza kiswahili juzi hapa mnatuchafulia nchi.

Km wewe ni mwananchi wa nchi yangu TZ BASI LZM hilo jengo ulitambue.
Lilitolewa kwenye magazeti kila mara. Na kwenye Internet MPAKA LEO LIMO.

Kwenda kwenu nyamafu ya Intarahamwe! Shindwa pepo mchafu! Najisi, shetani kikojozi!
Nasema Shiiindwa kwa Jiiiiiiina Yesu.
Amen!

Leo umemkiri Yesu kuwa ni muweza...! Na baado
 
Ndo nikasema nyie banyamulenge mlijifunza kiswahili juzi hapa mnatuchafulia nchi.

Km wewe ni mwananchi wa nchi yangu TZ BASI LZM hilo jengo ulitambue.
Lilitolewa kwenye magazeti kila mara. Na kwenye Internet MPAKA LEO LIMO.

Kwenda kwenu nyamafu ya Intarahamwe! Shindwa pepo mchafu! Najisi, shetani kikojozi!
Nasema Shiiindwa kwa Jiiiiiiina Yesu.
Amen!

Umesha shiba daku tayari una anza kusunbua watu humu jukwaani.
 
Hivi kumbe mtu hata kama ni muuza unga kweli unalazimika kumtetea tu kisa wa imani yako! Huu sasa sijui ni utaahira,umbumbumbu au uendawazimu!
 
Mkuu tunatakiwa tuwe na Tafakuri ya kina juu ya majina haya mimi nadhani hili gazeti linatumika kutaka kupoteza malengo halisi kwani unapo toa taarifa kwa kuandika majina mawili tu ya muhusika hapa tunakosa uthibitisho kwani haya majina wengi wanayo lingejumuishwa jina la tatu lingeweza kuonyesha uhalisia wa mlengwa aliyetajwa lakini kuishia na majina mawili tu hili ni changa la macho pia kitu kingine muhimu ilitakiwa Makazi ya hawa waliotajwa yangebainishwa ili tuweze kufahamu maeneo wanayotoka kwani Tanzania ni kubwa. kitu kingine tunachojiuliza mbona yale majina yaliyoorodheshwa kwenye ile Barua ya mfungwa wa kule China hakuna hata moja lililoonyeshwa katika haya majina 240 na yale 250 yaliyoripotiwa na gazeti hili?

ni kweli mkuu yale majina ya china hayapo kwenye hii list,, Halafu kwenye hii list kuna wengine tayari wako jela hasa KEKO....
 
Inamaana tuna vigogo wauza unga watatu tu hao wote wengine baadhi yao ni mapunda tu na siajabu wengi wao yakawa majina feki, hatuna ubavu wa kutoa vigogo haswa wanaohusika.
 
Hili nalo ni jipu lililokaa sehemu mbaya, kulitumbua linahitaji usiwe na tamaa, unaweza kupewa ukapata kigugumizi cha kutaja majina.
 
Simuoni wa kuwashughulikia wauza madawa ya kulevya.afterlaw serikali ingeweka mkazo kweny kukusanya kodi kwa sasa
 
Back
Top Bottom