Mapambio ya Pascal Mayalla

Hahaha huyu naye mmnataka kumfanya achukiwe kama mkolomije.
Mungu keshawasikia, waandishi wajao watakuwa hawana matumbo. Inaelekea njaa nitatizo kwa waliowengi.
 
au ndo wale watoto wa mtaani wasio mjua baba?
Ee Mungu Tusaidie Na Sisi Tusio Mjuwa BABA Tupatie Dunia Yetu Tuwe Tunaenda Huko Maana Tuko Tofauti Sisi Tume Zaliwa Nje Wao Wamezaliwa Ndani, Sisi Mama Zetu Walikuwa Safarini,wao Mama Zao Walikuwa Sebuleni Tunakuomba Mzee Mtaani Tukusanye Wanao Tuna Nyanyasika Na Watoto Wa Ndani, Watoto Wa Mzee Ndani Wanatamba Jitokeze Basi Mzee Mtaani Utupe Faraja Ya Moyo
 
Njaa iliwafanya waseme lowasa sio fisadi wakati wao wao walichoma mafuta kuzunguka tanzania nzima na chopa kusema lowasa fisadi. Najuta elf 10 yangu niliyochangia mafuta pale nmc arusha 2009.
Oneni nyumbu wa Lumumba lowassa aligombea urais chadema 2009 au 2010 .
 
Ligha yako uliyoitomia kujibu you fall in the same category ya kutolelewa na wazazi wawili
 
Hujui argument yetu ni ipi!
 
Loh! Nimekuona leo katika maonyesho ya sabasaba na REA. Mapambio uliyoimba ya kuifagilia awamu ya tano ya JPM nikakuona kuwe kweli kumbe wito wa Bunge ulikukengeuza! Ukasema iungwe mkono 100 kwa mia! Mayalla ni Njaa!
Hajitambui huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…