Akijitokeza naomba unistue
Mtu akisema ukweli na kuamini na kusimamia sera za kweli chadomo wanasema njaa.
Mkuu. Usimwite sasa yuko kazini
Hiyo huitwa 'mtumikie kafiri upate mradi wako'
Kipindi cha sabasaba huwa ni high season kwa jamaa.
Pasco ni muandishi mzuri lakini uzibitisho kua ana njaa alishaongea Raisi Magufuli [emoji41]
Sawa misukule wa chadomo mwenye shibe ya kulamba viatu vya DJ mbowe.Wewe mwenyewe njaa inakusumbua
Mkuu pasikali wala hahitaji kupotezwa. Yule mgogo wa dodoma alisha mmaliza . teheteheehakuna cha tuhuma wala nn, awamu hii ukijifanya mbabe wanakupoteza...sasa we unadhani Pascal hana roho?!
we mwenyewe muoga unatumia fake id bora hata huyo Pascal
Wewe utoe msimbazi si ungeishiwa damuNajuta elf 10 yangu niliyochangia mafuta pale nmc arusha
Kama wapigania Uhuru wa bara hili wangekuwa na mawazo na akili hizi................................Mleta mada acha unafiki, Pascal Mayalla ana maisha nje ya jamiiforum Kama wewe, alikuwa kazini kutafutia wanae ugali, maisha halisi ndivyo yalivyo, sometimes you side with authority to achieve your goals,
Msipende kuwaweka chambo wenzenu ili mfurahishe mioyo yenu huku mkiwasifu kwa kejeli kuwa ni "mashujaa". Everyone is responsible for his/her life, don't expect Pascal Mayalla to risk his life in order to make you happy!
Serikali ni ukuta ambao kiuhalisia kuutikisa inahitaji gharama kubwa ya kafara ya kujikana mwenyewe,
Acheni unafiki.
" If you can't fight them, join them"
Wengi tumemshastukia huyu kikaragosi wa nduli katika juhudi zake za kusaka teuzi. Chezeya njaa Mkuu! Njaa ni kitu kibaya sana kwa watu wasiojitambua na kutokuwa na msimamo.
Na wewe kikaragosi wa nduli mbowe tushakushitukia.Wengi tumemshastukia huyu kikaragosi wa nduli katika juhudi zake za kusaka teuzi. Chezeya njaa Mkuu! Njaa ni kitu kibaya sana kwa watu wasiojitambua na kutokuwa na msimamo.
Ni kweli kama wapigania Uhuru wote wangekuwa kama wewe kujifanya mashujaa nyuma ya keyboard harafu hadharani ni ngedere alinyeshewa duu sijui kama Uhuru tungeupataKama wapigania Uhuru wa bara hili wangekuwa na mawazo na akili hizi................................
Hili ndiyo neno la siku.Mleta mada acha unafiki, Pascal Mayalla ana maisha nje ya jamiiforum Kama wewe, alikuwa kazini kutafutia wanae ugali, maisha halisi ndivyo yalivyo, sometimes you side with authority to achieve your goals,
Msipende kuwaweka chambo wenzenu ili mfurahishe mioyo yenu huku mkiwasifu kwa kejeli kuwa ni "mashujaa". Everyone is responsible for his/her life, don't expect Pascal Mayalla to risk his life in order to make you happy!
Serikali ni ukuta ambao kiuhalisia kuutikisa inahitaji gharama kubwa ya kafara ya kujikana mwenyewe,
Acheni unafiki.
" If you can't fight them, join them"
Flexibility. ... Ameamua kufuata mfumo wa MWANZI NA SI MWEMBE ili auepuke upepo asioweza kuuhimili!!Loh! Nimekuona leo katika maonyesho ya sabasaba na REA. Mapambio uliyoimba ya kuifagilia awamu ya tano ya JPM nikakuona kuwe kweli kumbe wito wa Bunge ulikukengeuza! Ukasema iungwe mkono 100 kwa mia! Mayalla ni Njaa!
Jamani mwacheni "Pasco wa JF apumzike!!" ikiwa kina ROMA hawakusema na "Paskali" msitarajie aseme kitu... maana wako waliotekwa kimwili na waliotekwa kimaneno....
Kisukuma mayala,ni njaaAn njaa ina maana hajala au