Hivi sisi awa mabeberu tumewakosea nini lakini. Hawajatupa hata mia yani.
Mwana mkaidi hafaidi hadi siku ya Iddi. Waliyaona wahenga.
Hivi sisi awa mabeberu tumewakosea nini lakini. Hawajatupa hata mia yani.
kwani unafikiri kuna uhitaji huo??Hii nchi sasa imeanza kutegemea misaada, si wanajidai eti "wameendelea"? Ha ha ha.
Sasa huo msaada wa nini?kwani unafikiri kuna uhitaji huo??
Wanadanganyana kuwa ni mkopo usio na riba!! Beberu yuko kwenye biashara hapo! halafu mazuzu yanachekelea!!! Hakuna mkopo usiokuwa na riba!! Ombeni msije mkapewa sharti la kijiunga kwenye LGBT community!! Wazungu hawana adabu!! Yatawatokea puani!!Kwa misaada hiyo wa extend lockdown hadi Dec 2020 tu. Wakati wa kulipa utafika ndio watajua uzuri Uhuru atakuwa amekabidhi nchi
wajiunge mara ngapi.Wanadanganyana kuwa ni mkopo usio na riba!! Beberu yuko kwenye biashara hapo! halafu mazuzu yanachekelea!!! Hakuna mkopo usiokuwa na riba!! Ombeni msije mkapewa sharti la kijiunga kwenye LGBT community!! Wazungu hawana adabu!! Yatawatokea puani!!