Hapa tunaongelea msaada kwa Kenya, unaelewa?Kenya na Tanzania nani anategemea misaada? Tanzania inapambana na Afghanistan kwa misaada wakati sisi hatujawahi kua kwenye vita.
Dah....acha ujinga...hakuna free lunch duniani....kamwe...Huu siyo mkopo kaka... this is a grant..
Wewe shithole country yako misaada yote na mikopo waliopata miaka 60 wamefanya nini?Middle income country mnapokea msaada?alafu hizo pesa zote viongozi wanatafuna,just imagine,wanatumia Ksh.4 million kwa ajili ya Chai tu!
Jitahidi kujiongezea wigo wa taarifa, uwe unasoma journals za taasisi za misaada za kimataifa, imf na wb uone. Nchi inayoongoza kupewa misaada ni Afghanistan, hii ilikua kwenye vita miaka. Inafuata Tanzania inayoishi kwa kutegemea misaada.mdugu huku ni fact tupu sio uchungu wa kisiasa.
tanzani inapambanaje n afghanistan.
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Smartness wanayoicheza Kenya ni kupata misaada na mikopo ambayo wasingeipata katika hali yakawaida maana nchi masikini zina uwezo wake wa kukopesheka.kenya wana play smart gani!!
wanzusha corona au ni kweli wana corona!!!
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
nimeuliza coron ipo kenya haipo!!!!Smartness wanayoicheza Kenya ni kupata misaada na mikopo ambayo wasingeipata katika hali yakawaida maana nchi masikini zina uwezo wake wa kukopesheka.
Kenya wameweka lockdown ya kizushi ya kuanzia sa 3 usiku hadi sa 11 alfajiri.
Corona ipo kila mahala, wewe unadanganywa kua corona haipo? Soma hii barua ya serikali ikikiri kwenda kwa mabeberu kua imeathirika sana na coronawakati huku kwa wanyonge na wajinga wanaambiwa corona iliisha na maombi. Hapa serikali inawabembeleza mabeberu waihurumie waipatie mkopo na waisamehe ili iweze kupambana na corona ambayo ilishaisha kwa maombi.View attachment 1473163
wewe baada ya kusoma sana ndio ukaja na jawabu hilo!!!!Jitahidi kujiongezea wigo wa taarifa, uwe unasoma journals za taasisi za misaada za kimataifa, imf na wb uone. Nchi inayoongoza kupewa misaada ni Afghanistan, hii ilikua kwenye vita miaka. Inafuata Tanzania inayoishi kwa kutegemea misaada.
Wagonjwa 500 si walipona wote.nimeuliza coron ipo kenya haipo!!!!
hii barua iko wazi inazungumzia report y mwezi april,iliyotaja wagonjwa 500.
nikadhani labda imeandikwa kuna wagonjwa 6000 ambao haijawahi kututajia.
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
blazaa kwani hela unatoa wewe mbona povu!!!!!Wagonjwa 500 si walipona wote.
Halafu wagonjwa 500 ambao wote wamepona ndio tuombee mkopo, ndio wasababishe serikali iandike barua ndefu hivyo, wagonjwa 500? Halafu hadi serikali inaandika barua mei 27 tayari hawa walishapona kitambo toka April tulipofanya maombi.
Hata wewe kwa akili yako unakubali kua wagonjwa 500 ndio wamesababisha tuandike barua ndefu hivyo? Corona ya wagonjwa 500 ndio imevuruga uchumi hivyo?
Blaza hela sitoi mimi ila sipendi unafiki na uongo.blazaa kwani hela unatoa wewe mbona povu!!!!!
wewe una taarif ya wagonjwa elfu ngapi tanzania??
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
kwani anadanganywa nani!!!!wewe au beberu??Blaza hela sitoi mimi ila sipendi unafiki na uongo.
Kenyata anaumiza raia ganj? Kwa akili yako lockdown ya saa 3 usiku hadi saa 11 alfajiri ni lockdown hiyo?kwani anadanganywa nani!!!!wewe au beberu??
kenyata anaumiza raia ili amraghai beberu unasifu.
magu hajaumiza raia anamdaganya beberu unafura hasira.
unafiki anao nani kama si wewe mkuu??
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Ndio maana nikakwabia tokea mwanzo usiongozwe na machungu binfsi utaharibu.wewe una maumivu sana na magu sijui kwanini, kwa taarifa tu kama hukua unafahamu.Kenyata anaumiza raia ganj? Kwa akili yako lockdown ya saa 3 usiku hadi saa 11 alfajiri ni lockdown hiyo?
Yaani mchana kutwa hadi sa 2 usiku watu mnaendelea na maisha yenu kama kawaida halafu usiku mnaambiwa msitoke, hapo ndio wameumizwa?
Unahitaji kua mirembe kama huoni hilo.
Ni aibu ila aibu hawanaHii nchi sasa imeanza kutegemea misaada, si wanajidai eti "wameendelea"? Ha ha ha.
Iwe makini kwa lipi wakati kila siku wanaonba pesa wananyimwa.
Hii wala sio hoja.ndio maana nikakwabia tokea mwanzo usiongozwe na machungu binfsi utaharibu.wewe una maumivu sana na magu sijui kwanini,kwa taarifa tu kama hukua unafahamu.
wameuwawa wakenya kadhaa waiokuwa wakikaidi agizo la lockdow mwanzoni mwa mwezi 4.
raia kadhaa wamefungiwa quarantine,na kisa ugonjwa huu ambao inabidi tu uonekne upo.au nikupe na video kabisa ukibisha.
hao ndio niliorenga kwamba wameumizwa sio unaofikiria wewe.
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
kwani ya kenya unayajua mangapi!!!au kwa vile hawana walevi waropokaji yanayotokea kwao basi unadhani hayapo!!!!Hii wala sio hoja.
Watanzania wangapi wanauwawa hapa na polisi na wengine kukutwa wamefungwa kwenye viroba na wanaopotea na wasijulikane wako wapi na walikuchuliwa na polisi?
Na hawa ambao wanakufa kila siku kwa uzembe wa serikali ya wanyonge kila siku na wengine akawa wanazikwa usiku kama takataka?
Sioni hoja bado.
Hawa ndo maana wanakuwa puppets wa wazungu. Serikali ya tz iwe makini sana na hawa watu.