Mapambano ya Corona: Kenya yapata msaada wa $78M kutoka Umoja wa Ulaya (EU)

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
8,649
2,000
Kwa misaada hiyo wa extend lockdown hadi Dec 2020 tu. Wakati wa kulipa utafika ndio watajua uzuri Uhuru atakuwa amekabidhi nchi
Wanadanganyana kuwa ni mkopo usio na riba!! Beberu yuko kwenye biashara hapo! halafu mazuzu yanachekelea!!! Hakuna mkopo usiokuwa na riba!! Ombeni msije mkapewa sharti la kijiunga kwenye LGBT community!! Wazungu hawana adabu!! Yatawatokea puani!!
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
24,097
2,000
Wanadanganyana kuwa ni mkopo usio na riba!! Beberu yuko kwenye biashara hapo! halafu mazuzu yanachekelea!!! Hakuna mkopo usiokuwa na riba!! Ombeni msije mkapewa sharti la kijiunga kwenye LGBT community!! Wazungu hawana adabu!! Yatawatokea puani!!
wajiunge mara ngapi.
 
Idd Ninga

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
4,972
2,000
Unahamka hasubuhi unaenda kazini,unarudi jioni unaambiwa lockdown,Afrika bhana kwa vituko hata shetani anatushangaa.
Unapewa Mkopo,unaambiwa msaada,unasahau kwamba utakuja kuulipa tu,piga ua garagaza
Ila yote na yote,kama deni la Tanzania haliwahusu wakenya,basi hata deni la Kenya haliwahusu Afrika,ingawa madeni haya yote yanadhuru bara la Afrika,.
 
Tz_one

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
2,093
2,000
Debt relief rising to 25,7mil usd not so bad
tapatalk_1591849335169.jpeg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom