Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,534
- 146,107
"Havard" ndo wapi huko?
Ni wazi siyo Harvard :usa:
"Havard" ndo wapi huko?
Kwani shule za wenye vipaji bongo wanavipaji gani?
Kuna hata aliyevumbua godoro la katani?
kaka hao jamaaa ni noma nilisikia kutoka BBC siku moja kama mmoja anasoma Udaktari na mwenzake anasoma mambo ya IT lkn wanafanya kazi pamoja kwa kushirikiana mfano wa walishawahi kufanya upasuaji ambao ulikuwa gumzo hapo Havard na katika maswala ya IT Wameshafanya makubwa kinacho washangaza watu ni uwezo wao wa kufanya mambo pamoja ilihali kila mtu anafani yake
View attachment 93550 o level EINOTI SEC SCHOOL KAMA HASSAN AND HUSSEN KIBWANA A-LEVEL INASEMEKANA ILBORU CHUO HAVARD KAMA SYLIVANUS NA SALVANUS KWA SABABU ZA KIUSALAMA ZAIDI
Mtu wa IT anashiriki kwenye upasuaji?? He he he, mie Tomaso bana
Hayo makubwa kwenye IT ni yapi?
"Havard" ndo wapi huko?
wakirud tz mi sio ..............!
...may be tuspy huto tutoto...Kwanini JK anawasomesha kwa "siri"?
Uwezo wao siyo wa manufaa sana maana upo kama wa ki-Nabii...! Wanafanya mambo ambayo mtu mwingine anaweza kuyafanya lakini kwa haraka za usahihi zaidi...! Ki-mantiki hawa siyo innovators...!
Nini vifungo bwana wagundue japo uzi tu.Vipi kuhusu kifungo cha shati?