mapacha wenye vipaji wanao soma havard

mapacha wenye vipaji wanao soma havard

Hata Hasheem thabeet walisema ana kipaji cha kucheza mpira wa kikapu akapata misifa kibao, leo hii yupo NBA hakuna lolote la maana anafanya.
Kama kweli hao vijana wapo Havard "USA", nawashauri hata wasiwaze kuja huku Umatumbini

Cha msingi analipwa bilions,na kama mtanzania unatakiwa kuwa proud of him ! Coz u will wait for century to find another tanzanian in NBA .
 
Al............qaida. Kwa nini wadanganye majina halisi!???????????
 
Oh my god, hao ni GIFTED, wakuu sifa zao zimo katika mitandao mbali mbali.. wamejaaliwa Bongo lao kuwa fasta with Ubunifu flava... I wish them success and healthy lifu.
Proud of them tuombe na wengine wapatikane.....

Hahhahaha! wabongo mlipigwa changa la macho, hakuna jiniazi wala nini! Hata wanaosoma Havard kwenyewe hawawajui, nyie mnasema wanasoma Havard, mara wameenda mpaka MARS na wabongo mnameza nzimanzima, chezea ujinga wewe!:shock:
 
kaka hao jamaaa ni noma nilisikia kutoka BBC siku moja kama mmoja anasoma Udaktari na mwenzake anasoma mambo ya IT lkn wanafanya kazi pamoja kwa kushirikiana mfano wa walishawahi kufanya upasuaji ambao ulikuwa gumzo hapo Havard na katika maswala ya IT Wameshafanya makubwa kinacho washangaza watu ni uwezo wao wa kufanya mambo pamoja ilihali kila mtu anafani yake

Hahahahaa, IT anashiriki operation, inawezekana ya kupasua panya!! Btw, mmoja wao si ndiyo alikuwa "BINADAMU WA KWANZA KWENDA SAYARI YA MARS"...nakumbuka kilisemwa kitu hichoi pia kwenye magazeti ya Tanzania...SISI KWELI VILAZA!
 
Hivi wana vipaji gani? Huwa nawasikia tu
Sijasikia wamevumbua hata sindano

Only in Tanzania
No matter how hot your anger is, it can not cook yams-Nigeria .........................................hilo ni jibu tosha kwako
 
Wee ndio silvanus ama silva?

Pole sikujua nimekukalisha kwenye tuthpick, umerukaje

No matter how hot your anger is, it can not cook yams-Nigeria .........................................hilo ni jibu tosha kwako
 
Hahahahaa, IT anashiriki operation, inawezekana ya kupasua panya!! Btw, mmoja wao si ndiyo alikuwa "BINADAMU WA KWANZA KWENDA SAYARI YA MARS"...nakumbuka kilisemwa kitu hichoi pia kwenye magazeti ya Tanzania...SISI KWELI VILAZA!

Kama hujui kitu kaa kimya. Unashangaa nini IT kutumika kufanya upasuaji? jengeni tabia ya kusoma vitabu na makala mjifunze mambo yanavyofanyika duniani. Kazi kuponda ponda tu jitihada za wenzenu! waswahili bwana!!!!!!!!!!
 
kitu chochote kikimuhusisha baba mwanaasha basi ni gumashi,wawe majiniasi halafu iwe siri,zuckerberg(kama sijakosea) wa facebook wote tunamjua,wao wafichwefichwe wamekuwa bange!!!jk bhana wakati mwingine kama mtoto mdogo...
 
Nimesoma Ilboru A level 2008-2010,jamaa walikuja hapo na story nyingi mara wamehamia kutoka Mzumbe mara wametoka Umbwe,tukafanyaga mtihani nafikiri ni wa Physics,mmoja alipata nafikiri 5pasenti . Second Master Kiringo akawatimua. Ni viazi balaa. Huo wanaouzungumza ni uongo mtupu. ILBORU 2008 -2010 class wanawakumbuka vizuri sana,wana kalafudhi flani hivi
 
Acha chuki na wivu! Kwani ukidanganya watu inapunguza umasikini na kupigika kwako mtaani? Wako Harvard na walimaliza Ilboru! Kama kweli ulikuwepo utakuwa umeshuhudia wakizawadiwa Bungeni wote wakiwa top 10! Ila unajipa moyo, mapovu wewe wenzio wana paa!
 
Back
Top Bottom