Nyamuleha jr
Senior Member
- Feb 20, 2013
- 185
- 65
Hivi wana vipaji gani? Huwa nawasikia tu
Sijasikia wamevumbua hata sindano
Only in Tanzania
Vipi kuhusu kifungo cha shati?
Wavumbue hata kifungo tuwe proud of them jamani
Mie nawasikia tu sioni matunda
kaka hao jamaaa ni noma nilisikia kutoka BBC siku moja kama mmoja anasoma Udaktari na mwenzake anasoma mambo ya IT lkn wanafanya kazi pamoja kwa kushirikiana mfano wa walishawahi kufanya upasuaji ambao ulikuwa gumzo hapo Havard na katika maswala ya IT Wameshafanya makubwa kinacho washangaza watu ni uwezo wao wa kufanya mambo pamoja ilihali kila mtu anafani yakeHivi wana vipaji gani? Huwa nawasikia tu
Sijasikia wamevumbua hata sindano
Only in Tanzania
Hivi wana vipaji gani? Huwa nawasikia tu
Sijasikia wamevumbua hata sindano
Only in Tanzania
View attachment 93550 o level EINOTI SEC SCHOOL KAMA HASSAN AND HUSSEN KIBWANA A-LEVEL INASEMEKANA ILBORU CHUO HAVARD KAMA SYLIVANUS NA SALVANUS KWA SABABU ZA KIUSALAMA ZAIDI
Hivi wana vipaji gani? Huwa nawasikia tu
Sijasikia wamevumbua hata sindano
Only in Tanzania