Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,183
tehe! unaelewa maana ya maono kweli wewe?
Nguu,You need to be critical thinker,Hoja ninayojenga ni urahisi wa jeshi kupindua serikali yoyote,the issue is not whether it emanates from Constitution review or else,Hoja yangu ni kupindua,kutawala kwa muda na kisha kutaka kugombea,ndicho kilichotokea Misri.
Hoja ya JK haikua kupindua because of misundastanding in Constitution review,Issue ya Mh Rais ilikua ni Jeshi likiona linaletewa longolongo katika mahitaji yake ni rahisi kupindua na kuvunja mifumo ya kidemokrasia.
Alitoa tahadhari kulingana na pendekezo la serikali tatu ambapo jeshi linakua katika mambo ya Muungano,hapa ukiangalia kiundani the union government haina sustainable and stable source of Revenue,hadi itegemee nchi washirika,JK akaona,ni rahisi siku moja nchi washirika wakakosa au kuamua kutopeleka fedha kwa serikali ya Muungano hivyo kukwama hata kulipa salary jeshini,Kinachofuata ni mtanange.
Kwa hiyo issue sio Kutoelewana ktk katiba issue ni Risk ya kuweka Jeshi chini ya Shirikisho la Warioba lisilo na uhakika wa mapato.
Umeshasema mkuu wa jeshi la Misri amejiuzulu! Ina maana anagombea nafasi ya uraisi Kama raia Sasa jeshi limeshika dola vipi? Ningependa jeshi lichukue nchi ili mafisadi washikishwe adabu lakini haitatokea maana viongozi wote wa juu wa jeshi nao ni Maccm.
Luteni Kanali Jakaya M. kikwete. Mbona hata yeye alikuwa mwanajeshi lakini kagombea kama raia? Halafu nakerwa sana na watu wanao chukua nukuu za JK bila kuzifanyia utafiti wakati hata yeye hajafanya utafiti kabla ya kusema
Sent from my iPad using JamiiForums
Kuna watu bado wanadhani kuwa babu Slaa ndiye rais wa TZ,poleni sana,unataka hadi chupi akununulia JK.Duuuu.........
Hivi hao Majeshi wetu wanachelewa nini Kupindua serikali. Au nao ni Dhaifu kama JK? Majeshi wetu munatuangusha sisi tunahamu ya utawala wa kijeshi. Wajeshi changamkieni fursa Rais alishawaruhusu pale bungeni alionesha amefyata mkia. hahahahh.
Bora jeshi litawale tu kuliko CCM kuendelea kuwa madarakani.
UJUMBE UMEFIKA
Kaa ufahamu sio watu wote tnatumia Keyboard za Computer
unaweza kuta natumia Blackberry 8100 ikitumia ABC kwenye No 2, DEF #3 sasa comma au capital letter za nini wakati habari imefika?
Bravooo Kikwete, achia Tanganyika ije hao Wazanzibar watajitoa wenyewe tu
kimbia jeshini kamanda wakakutawale huko wala hakuna mtu atakaehangaika na wewe
Kwani unadhani CCM itatawala milele?
waambie wakampindue kwanza hawara yako...
Ni wazi Kikwete ni Kiongozi mwenye maono,
Wakatia akihutubia bunge maalum la katiba Mh Rais alitoa tahadhari juu ya jeshi kukamata dola na baadae kiongozi wa kijeshi kutaka kugombea na kuua kabisa mfumo wa kidemokrasi
Yametimia Misri baada ya Mkuu waajeshi kujiuzulu jeshini na,kutangaza hadharani kuwa anagombea urais wa Misri.
Kikwete alitoa tahafhari juu ya muundo wa Muungano wa serikali tatu ambapo jeshi litakua chini ya serikali ya Muungano isiyo na vyanzo vya uhakika vya mapato,.hivyo kuhatarisha serikali kwa uwezekano waapinduzi
kumbe Mods wanakagua uandishi ndio wanaruhusu Post ikasoomweaaaah, bong'oso umeonekana leo! Hata utumie chaki kuandikia, haiondoi ujuvi na weledi wa matumizi ya hicho kifaa chako. Vitufe vyote vipo katika hicho chombo chako unachotumia. Mbumbumbu hadi kwenye chombo ulichonunua mwenyewe, sembuse hicho unachokishabikia!!!
nilichokuambia UJUMBE tumeupataKwa kweli siku hizi Jamii forums imepoteza maana kabisa. Hakuna discussion za maana.