kumbe Mods wanakagua uandishi ndio wanaruhusu Post ikasoomwe
maana kutwa ni kusahihisha commer na nukta
nilichokuambia UJUMBE tumeupata
Maono ya Kikwete Yatimia Misri
sasa mpaka ujue nimebofya #2 TY au ALT shift tunachoangali umekufikia
bong'oso ni watoto wa O'Level mnadhani tupo katika lugha?
Hoja ni kweli Serikali ya 3 ya Muungano itategemea misaada toka Tanganyika?
wakinyimwa je? kitatokea nini ??
Bravooo JK
My D.oG!!!!
Ni wazi Kikwete ni Kiongozi mwenye maono,
Wakatia akihutubia bunge maalum la katiba Mh Rais alitoa tahadhari juu ya jeshi kukamata dola na baadae kiongozi wa kijeshi kutaka kugombea na kuua kabisa mfumo wa kidemokrasi
Yametimia Misri baada ya Mkuu waajeshi kujiuzulu jeshini na,kutangaza hadharani kuwa anagombea urais wa Misri.
Kikwete alitoa tahafhari juu ya muundo wa Muungano wa serikali tatu ambapo jeshi litakua chini ya serikali ya Muungano isiyo na vyanzo vya uhakika vya mapato,.hivyo kuhatarisha serikali kwa uwezekano waapinduzi

Hebu tueleze katika mfumo wa serikali 2, chanzo hakika cha mapato ni kipi?Ni wazi Kikwete ni Kiongozi mwenye maono,
Wakatia akihutubia bunge maalum la katiba Mh Rais alitoa tahadhari juu ya jeshi kukamata dola na baadae kiongozi wa kijeshi kutaka kugombea na kuua kabisa mfumo wa kidemokrasi
Yametimia Misri baada ya Mkuu waajeshi kujiuzulu jeshini na,kutangaza hadharani kuwa anagombea urais wa Misri.
Kikwete alitoa tahafhari juu ya muundo wa Muungano wa serikali tatu ambapo jeshi litakua chini ya serikali ya Muungano isiyo na vyanzo vya uhakika vya mapato,.hivyo kuhatarisha serikali kwa uwezekano waapinduzi
Watu mnapenda league sana.
Issue inayotakiwa kujibiwa hapa ni je huyo mjeshi kavua gwanda na kutaka kugombea urais ama hapana?
Pia muono wa JK uko sahihi, lakini JK alichoshindwa kukijibu ktk maelezo yake ni kuwa kutakapokuwa na serikali ya muungano kukosa mapato na wanajeshi kupindua, je watapindua serikali ipi? ya muungano, ya Tanganyika ama ya Zanzibar.
Watapitisha kwa wingi, baada ya hapo tutarudi kuandika katiba. Kenya walijaribu wakashindwa, hatujifunzi. Katiba ni suala la taifa si suala la itikadi. Ni wehu peke yao wanaodhani katiba ni mali ya chama..kilichotokea Misri ni tofauti na utabiri wa JK pamoja na conclusions zako.
..Misri kulifanyika mapinduzi ya kiraia ambayo yalifuatiwa na uchaguzi uliokiweka chama cha Muslim Brotherhood madarakani.
..baada ya Muslim Brotherhood kushika dola palitakiwa kufanyika mabadiliko ya katiba. sasa tatizo Muslim Brotherhood wakatumia wingi wao na mabavu kukandamiza hoja za vyama vingine ktk mabadiliko ya katiba.
..kwa kifupi Muslim Brotherhood na Raisi wao Mohamed Morsi walikuwa wanatumia hoja hizihizi wanazojenga CCM leo ktk mchakato wa katiba. Kwamba wao wako wengi hivyo maoni yao tu ndiyo yasikilizwe.
..Sasa Muslim Brotherhood wakafanikiwa kupitisha katiba waliyoitaka wao, lakini kukawepo idadi ya kutosha ya Wamisri ambao hawakukubaliana na katiba iliyopitishwa.
..Wananchi wengi waliingia mitaani na kuanza kupinga ukandamizaji uliokuwa ukifanywa na Muslim Brotherhood. Hali ya usalama Misri ilianza kuwa mbaya. Jeshi likaona kwamba nchi inaelekea kutokutawalika, na likatoa amri kwamba wanasiasa wamalize matatizo yao, na ikiwa watashindwa jeshi litalazimika kuchukua "hatua stahiki."
..Mlolongo niliouleze hapo juu ndiyo uliomuingiza madarakani Field Marshal Al-Sisi.
..Kiburi na vitimbi vya chama tawala cha Misri ktk mchakato wa katiba ndiyo sababu ya msingi ya kutokea mapinduzi ya kijeshi nchini humo.
Watu mnapenda league sana.
Issue inayotakiwa kujibiwa hapa ni je huyo mjeshi kavua gwanda na kutaka kugombea urais ama hapana?
Pia muono wa JK uko sahihi, lakini JK alichoshindwa kukijibu ktk maelezo yake ni kuwa kutakapokuwa na serikali ya muungano kukosa mapato na wanajeshi kupindua, je watapindua serikali ipi? ya muungano, ya Tanganyika ama ya Zanzibar.
Hayo mambo ya maono mimi sina interest nayo kabisa!..kilichotokea Misri ni tofauti na utabiri wa JK pamoja na conclusions zako.
..Misri kulifanyika mapinduzi ya kiraia ambayo yalifuatiwa na uchaguzi uliokiweka chama cha Muslim Brotherhood madarakani.
..baada ya Muslim Brotherhood kushika dola palitakiwa kufanyika mabadiliko ya katiba. sasa tatizo Muslim Brotherhood wakatumia wingi wao na mabavu kukandamiza hoja za vyama vingine ktk mabadiliko ya katiba.
..kwa kifupi Muslim Brotherhood na Raisi wao Mohamed Morsi walikuwa wanatumia hoja hizihizi wanazojenga CCM leo ktk mchakato wa katiba. Kwamba wao wako wengi hivyo maoni yao tu ndiyo yasikilizwe.
..Sasa Muslim Brotherhood wakafanikiwa kupitisha katiba waliyoitaka wao, lakini kukawepo idadi ya kutosha ya Wamisri ambao hawakukubaliana na katiba iliyopitishwa.
..Wananchi wengi waliingia mitaani na kuanza kupinga ukandamizaji uliokuwa ukifanywa na Muslim Brotherhood. Hali ya usalama Misri ilianza kuwa mbaya. Jeshi likaona kwamba nchi inaelekea kutokutawalika, na likatoa amri kwamba wanasiasa wamalize matatizo yao, na ikiwa watashindwa jeshi litalazimika kuchukua "hatua stahiki."
..Mlolongo niliouleze hapo juu ndiyo uliomuingiza madarakani Field Marshal Al-Sisi.
..Kiburi na vitimbi vya chama tawala cha Misri ktk mchakato wa katiba ndiyo sababu ya msingi ya kutokea mapinduzi ya kijeshi nchini humo.
cc ZeMarcopolo, Kishimbe wa Kishimbe, ANDREW SMITH, Kobello, Nguruvi3
Ni wazi Kikwete ni Kiongozi mwenye maono,
Wakatia akihutubia bunge maalum la katiba Mh Rais alitoa tahadhari juu ya jeshi kukamata dola na baadae kiongozi wa kijeshi kutaka kugombea na kuua kabisa mfumo wa kidemokrasi
Yametimia Misri baada ya Mkuu waajeshi kujiuzulu jeshini na,kutangaza hadharani kuwa anagombea urais wa Misri.
Kikwete alitoa tahafhari juu ya muundo wa Muungano wa serikali tatu ambapo jeshi litakua chini ya serikali ya Muungano isiyo na vyanzo vya uhakika vya mapato,.hivyo kuhatarisha serikali kwa uwezekano waapinduzi
Mine is one unitary government, which I think is more practical.So the whole argument JK presented is fundamentally moot, although it can be argued kwamba kuongeza serikali kutaongeza gharama.
Moreover, the argument is not based on some hard facts. For example, in the US federal employees are paid from the purse of the federal government which collects taxes, so there is no fundamental reason why whichever government that is responsible for paying soldiers for example, should not be entitled to certain revenues from taxation to enable it to fund it's expenses.
The argument was fundamentally shallow and came across as something that was just plugged in to buttress JK's preconceived position of serikali mbili..
All this is coming from Kiranga, a person with no preference regarding serikali mbili tatu au moja.
My personal preference is zero government, as in "The government that governs best, governs least".
Hayo mambo ya maono mimi sina interest nayo kabisa!
Ila, ni lazima ukubali kuwa Muslim brotherhood ni serikali ambayo haikupangwa/kutarajiwa na NATO. Na serikali ya kijeshi haikuwa na haja ya kuwanyonga watu 500 kwa sababu za kisiasa. Huo ndio ukweli na usijaribu kuupaka rangi upepo.
Acheni mchakato wa katiba uendelee, kama watu hawataupenda, basi wataukataa na hiyo ndiyo itauwa tiketi yenu 2015.
Sijafurahishwa na watu humu ndani kudhani kuwa maoni yao ndiyo lazima yakubaliwe. Katiba ya nchi moja inaweza kuwa ya kijinga mno kulinganisha na katiba ya nchi nyingine.
Ndiyo maana ya sovereignty.
We boya baada ya kupambana na maisha ww unalalamika tu fursa ziko mingi sana sasa ww endelea kudanganywa na kina slaa huku wenyewe wanakula gud lyf
Mine is one unitary government, which I think is more practical.
Kuhusu JK, mimi naona watu hawamuelewi kwa sababu hawasikilizi hotuba zake. Conclussions nyingi ni kutokana na maelezo ya third party.
JK anazungumzia rasimu hii ya katiba na mapendekezo ya aina ya serikali (zote tatu). Aina ya serikali zilizopendekezwa is absolutely impractical kwa sababu federal government (or whatever they may call it) haina nguvu. Haijapewa carrot na wala haijapewa stick ... yaani ipoipo tu!
Haina nguvu ya kuunda majimbo.
Haina nguvu ya ku-regulate international trade.
Haina nguvu ya kukusanya mapato... itategemea kuchangiwa.
Bunge lake ni kama higher house kwenye bicameral system ambapo lower houses zitakuwa state legislatures (WTF?)
Sasa badala ya kutaja tu "Serikali tatu", wangeeleza serikali tatu kivipi? Yeye ana serikali mbili ambazo zinafanya kazi na zimefanya kazi kwamuda mrefu tu, ingawa kuna matatizo .... hayo yapo nchi nyingi tu.
Ndiyo maana akawaaambia, siyo mnasema serikali tatu tu, muwe tayari kujibu challenges mtakazoletewa kuhusu hizo serikali.
Tatizo siyo muundo, bali mfumo.
Serkali ya muungano itatumia kodi ya gongo by kd slaa