Ni wazi Kikwete ni Kiongozi mwenye maono,
Wakatia akihutubia bunge maalum la katiba Mh Rais alitoa tahadhari juu ya jeshi kukamata dola na baadae kiongozi wa kijeshi kutaka kugombea na kuua kabisa mfumo wa kidemokrasi
Yametimia Misri baada ya Mkuu waajeshi kujiuzulu jeshini na,kutangaza hadharani kuwa anagombea urais wa Misri.
Kikwete alitoa tahafhari juu ya muundo wa Muungano wa serikali tatu ambapo jeshi litakua chini ya serikali ya Muungano isiyo na vyanzo vya uhakika vya mapato,.hivyo kuhatarisha serikali kwa uwezekano waapinduzi
Aliwatisha baadhi tu ya watanzania ili tukubali mfumo wa serikali mbili, kwa taarifa yako tu wewe Majeshi yetu JWTZ, Police,Magereza, Zimamoto Yanadai pesa nyingi za malimbikizo kwa kipindi hiki kuliko miaka iliyopita, mbona serikali haijapinduliwa, na ni bora tuishi katika mfumo huo wa kupinduana kuliko mfumo huu wa sasa wa kisanii ,Hakuna anayeogopa hoja au maono hayo ya kisanii