Nyamagembe
Member
- Apr 23, 2013
- 24
- 4
Kwani kuna matatizo yoyote yanayotokea/yaliyotokea ambayo wewe unayaona yanasababishwa na wewe kumpita yeye kiumri?
Binafsi sioni tatizo lolote katika hilo kwani kinachoangaliwa hapo ni jinsi gani mnavyoweza kuishi katika maisha ya furaha na amani, kwani unaweza kuolewa na mwanaume aliyekuzidi umri na msiweze kuishi katika maisha ya furaha na amani.
Kama mnaishi vyema na hakuna tofauti yeyote basi huna bhudi kuendelea kuishi na mpenzi wako, na kama kuna matatizo yanayorekebishika hamna bhudi mkaelezana na kuyamaliza.
Asante, nashukuru kwa maoni yako, na swala la kumueleza ni mapema mno au nimwambie tu ili nione response yake??
Asante, nashukuru kwa maoni yako, na swala la kumueleza ni mapema mno au nimwambie tu ili nione response yake??
yani hakuna kitu sikipendi kama watu kushindwa kufurahia mapenzi kwa sababu zisizokuwa na maana!
sas umri unahukiska nini iwapo mpo okey!
kuna mahali uliona pameandikwa kanuni??
mpenzi wako ana shida na hilo??
mwanzo hukumjua kiasi hicho???
kwanini sasa iwe tatizo??
huwa mnayatafuta sana mauzauza kwenye malovee yenu!
JILIE RAHA banaaa!umri kitu gani??
yani nakuona jinsi unavolikoroga!
likiwe chungu ujue utalinywa bila sukari!
mi nipo hapa!
unamaanisha nikae tu kimya??
Age is nothing but number.
Kwani siku ya kwanza uliyomuonja uliona tofauti gani?
Hi!
Kwa nini unatamani upitwe umri? unafikiri bado kicho kitu ambacho ulitaka ukipate kwenye huo umri bado hukipati kwa huyu? Na unataka ujue reaction yake ili ndio ufanye nini? unafikiri akipuuza itakuwa imekidhi haja yako? na akionekana kutofurahia itakuwa nayo imekidhi haja yako? please tupe highlight.
ushaanza sababu, huwa hamkawiii nyie, ukishamchoka mwenzio unatafuta visingizio vingii ili muachane