Toyota Surf
Toa ushauri acha maneno mkuuKama upo Japan alafu hujui gari gani ya kuja nayo bongo tutasaidaje?
Au umezaliwa Japan kana kwamba hujui magari gani yanatumika bongo?
Sawa mkuu.....Toa ushauri acha maneno mkuu
Vanguard Haina spare tyre kama anataka features za vanguard aje na Rava nneS
Sawa mkuu.....
Namshauri aje na Toyota vanguard au Subaru forester ya 2014
Naunga mkono. Japo sijui kama inakuwa ndani ya hiyo budgetToyota Surf
hapa hamna kitu atahangaika kwa mafundi tuNaunga mkono. Japo sijui kama inakuwa ndani ya hiyo budget
Kweli. Maana hata Surf za kizamani, bei zimechangamka kweli.hapa hamna kitu atahangaika kwa mafundi tu