Maoni yangu: Wanawake wanatumika sana katika mahusiano

Maoni yangu: Wanawake wanatumika sana katika mahusiano

Punguzeni mitala hilo ndo tatizo lenu mnatupanga sana unakuta demu m1 na maboya wa3 mpaka wa4 na wiote wanakugonga kwa wakati tofauti,je hapo haujatumika?
Kaamua mwenyewe kutumika sidhani Kama Kuna tatizo, Sasa unakuta boya mmoja anawatumikisha wadada zaidi ya 4 unategemea tofauti ikwapi hapo. Kubalini tu kuwa maadili yanaelekea ukingoni, tuendelee hivyo hivyo
 
Tafuta pesa acha ujinga
Hawa ndugu zetu wanatumika sana, sema tu ukimuona, utadhani ni mpya, ila "Wanaingiliwa sana, sana tu"

Tukiacha unafiki, tukajikita katika ukweli, "Mwanamke anatumika sana katika ngono"
Nakosa jinsi nzuri ya kueleza, kwa sababu ni zaidi ya kuingilwa.

Wanawake wanaotumia vilevi, kwanza binafsi nikimuona mwanamke baa, au popote pale akipata vileo, kuna jinsi fulani huwa namchukulia, yaani kuna nafasi fulani huwa namuweka.

Sitaki kuandika mengi, Kwa sababu nimejikita zaidi katika kuwapa wanacho kihitaji.

Asante.
 
Mbona sijazima simu jana
Kwa hiyo tiketi yangu ulimpa nani?

Ila tulijitahidi 5-4 sio mbaya
tiketi ndiyo ivo tena ikawa loss bet;
Nataka nianze muandaa wakala mino raiyola
Kwa ajili ya kuja kwako endesha mazungumzo yetu Yale ya msimu unaokuja

Sure tulijitahidi;apo tuongeze wa 4 tu wakimataifa na tu maintain hawa tulio nao
 
Nikweli lkn nyie mmezidi shost kutupanga, yaani wengine tunachomeshwa mahindi mpaka basi kumbe uko sehemu unatumika....kesho waja kwangu mtondogoo ivoivo ndo maana kuna papuchi nyingine unakutanayo ukiitazama imeshapoteza sura,mvuto hata muonekano ipo ipo tu sababu ya kuburuzwa na viungo tofauti!
Kaamua mwenyewe kutumika sidhani Kama Kuna tatizo, Sasa unakuta boya mmoja anawatumikisha wadada zaidi ya 4 unategemea tofauti ikwapi hapo. Kubalini tu kuwa maadili yanaelekea ukingoni, tuendelee hivyo hivyo
 
tiketi ndiyo ivo tena ikawa loss bet;
Nataka nianze muandaa wakala mino raiyola
Kwa ajili ya kuja kwako endesha mazungumzo yetu Yale ya msimu unaokuja

Sure tulijitahidi;apo tuongeze wa 4 tu wakimataifa na tu maintain hawa tulio nao
😂😂😂
Nilikuelewa haina haja ya kuita mtu
 
Kauli ya kijinga sana hii, eti KUTUMIKA. Kwani wakati wa kupigana mashine anayefaidika ni mwanaume peke yake ?
 
Back
Top Bottom