hehemnyalu
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 703
- 691
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uchwara[emoji23][emoji23] Tafiti uchwara tu hizo man
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uchwara[emoji23][emoji23] Tafiti uchwara tu hizo man
Acha Ujinga basiNdio maana una tundu la haja kubwa
na hicho wanachokihitaji mbona sijakiona hapa mzee babaSitaki kuandika mengi, Kwa sababu nimejikita zaidi katika kuwapa wanacho kihitaji.
Wangekuwa hawatumiki wanaume mngekuwa na stress sana. Mnapewa mtakacho mnalia, mkinyimwa mnalia.
Hata wanaume wanatumia sana tu,ni vile tu inakuwa ngumu kugundua
Hatukupewa muongozo itumike kiasi ganiUtaulizwa siku ya mwisho,mbona imetumika sana?
Nawe unafanya Anachozungumza mshanaHapo bado hujazungumzia idadi ya vibendi walivyochomoa. Kuna kabinti kamoja kamedumu na jamaa yake almost 6 years katika hio safari kametoa mimba mara kibao mwishowe jamaa anataka mtoto kakawa hakanasi kakapigwa chini!
Jamaa kavuta toto bichii sahivi, hataki stress. Yule demu sijui atakuwa mgeni wa nani sasa ni mambo ya kusikitisha mno
Mi sizungumzi kwa majisifu oh what. Inatakiwa mjitambue i hate to date stupid womenNawe unafanya Anachozungumza mshana
Umeandika Kama huyo binti alikuwa anajipa mimba na kuamua kuziatoa,jamaa yako unamweka pembeni Kama hahusiki na unamwandika Kama hero,wakati anahusika asilimia 100 kuua watoto wasokuwa na hatia .Hata huko ndoani asidhan ataenjoy time will tell,huenda akapata mentally challenged kids
Vijana wa kiume wajibikeni,kugonga mademu hovyoo,kuwatolesha mimba then mnawalaumu hakuwafanyi wakamilifu kamwe.
Mwanaume alokamilika hawezi sifia upuuz ulioandika,angekuwa responsible hata hizo mimba za majaribio asingempachika binti wa watu.It takes two to tangle.
Na kuandika mada mbovu za kuwaatack mabinti/wanawake hakuwafanyi nyie men kuwa the best never.
Huyo pia ulomsifia hajitambui,angejitambua asingemwaga mbegu/watoto zake hovyo jalalani.He is a useless boy.Na huwezi kuwa smart ukadate stupid woman,unapewa wa kufanana nawe.Mi sizungumzi kwa majisifu oh what. Inatakiwa mjitambue i hate to date stupid women
Thats her loss, pengine wote wapumbavu pia maana kama mtu unafahamu atatakiwa kukuzalia watoto huwezi kumtia mimba na kumkorokochoa. Jamaa alikuwa daktariHuyo pia ulomsifia hajitambui,angejitambua asingemwaga mbegu/watoto zake hovyo jalalani.He is a useless boy.Na huwezi kuwa smart ukadate stupid woman,unapewa wa kufanana nawe.
Au mmenielewa, au hamjanielewa!
Namaanisha hivi, Mwanamume anatumia, mwanamke anatumika.
Mpaka hapa bado unahitaji maana ya kutumika au unahitaji ufafanuzi Wa kutumika!Tupe maana ya kutumia na kutumika kwanza.
Mpaka hapa bado unahitaji maana ya kutumika au unahitaji ufafanuzi Wa kutumika!
Isitoshe yote hayo yameshatolewa ufafanuzi.
Ukisema wanatumika sana kwani sisi wanaume hatutumiki? Kwa lugha nzuri bas ungesema "tunatumiana" kwa sbb na yy akiwa na genye anakutumia ww mwanaume ili kumtuliza genye zake, na ww unatumia yy ili akutulize!Au mmenielewa, au hamjanielewa!
Namaanisha hivi, Mwanamume anatumia, mwanamke anatumika.