FatherOfAllSnipers
JF-Expert Member
- Mar 13, 2019
- 1,709
- 4,506
- Thread starter
- #101
Au uwezo wako Wa kuelewa mambo ni mdogo, au unafanya kusudi.Ukisema wanatumika sana kwani sisi wanaume hatutumiki? Kwa lugha nzuri bas ungesema "tunatumiana" kwa sbb na yy akiwa na genye anakutumia ww mwanaume ili kumtuliza genye zake, na ww unatumia yy ili akutulize!