Dripboy
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 3,178
- 4,608
Joanah hii mada imenigusa tuwe wakweli na wawazi, Unakuta binti wa miaka 23 ameshatembea na wanaume si chini ya 20 tena wote si wakumchovya na kumuacha la hasha! Unakuta wanadumu hata miezi mitatu sasa jiulize katumika mara ngapi??Hata wanaume wanatumia sana tu,ni vile tu inakuwa ngumu kugundua
Mwanaume mwenye umri huohuo unakuta katembea na mabinti si chini ya nane alafu katika hao nane unakuta watatu tu! Ndio walidumu nae angalau miezi kumi hawa wengine ni mara moja wataanza kumzingua mara visababu mwishoe anaachwa au anakata tamaa.
Sasa fikiria kijana kama mimi ambae sijaowa mpaka leo nije nimpate binti wa miaka 24-25 je nitakua nimeoa binti wa aina gani???
NB: Si wote wako hivyo ila ni ngumu kwa binti wasasa katika umri wa miaka 23 asiwe kafikisha wanaume zaidi ya sita.
Nyie mnaanza ngono mkiwa na miaka 16 sisi hiyo miaka 16 hata mahisia tunakuwa hatuna ndio stage ya PUNYETO KWANZA kabla kuijua papuchi