Maoni Yangu: Serikali imuajiri Maxence Melo wa JF

Maoni Yangu: Serikali imuajiri Maxence Melo wa JF

Mara mnaponda kuajiriwa serikalini, mara mnafagilia!!!!!
 
Atatumbuliwa akose heshima heri abakie huko huko
 
Write your reply...
Watamlipa nini??
Mtu ana mradi wake eti serikali imwajili.
Ili muiue JF sio??
Umechelewa saana.
 
Kwa nchi ambazo zinathamini mitandao ya kijamii haina haja kumuajiri bali ni kufanya nae kazi ila si kwa uwazi ili kuboresha masuala ya intelligence. Maana inasadikika kuwa Mark Zuckerberg anafanya kazi na FBI au CIA ila haiko open
 
Juzi Melo amelike comment yangu nilifurahi balaa.Live long Melo
 
HAKIKA CJAKUELEWA NA SIJAAMIN KM KWEL UKO SERIOUS
 
Kama unathamini mchango wa Maxence Mello huwezinkuombea jambo hilo litokee. Naona mnampango wa kumvuta kwenu,kumjua nje ndani,kumtumia na akishabaki mweupe kumdampo.

Siku zote ukitaka usitumie akili yako katika kiwango chake chote,kuwa mwajiriwa wa serikali.
 
Tatizo la nchi hii ni kuwa wenye fikra hawana uwezo na wenye uwezo hawana fikra!
 
Back
Top Bottom