Maoni Yangu: Serikali imuajiri Maxence Melo wa JF

Maoni Yangu: Serikali imuajiri Maxence Melo wa JF

Ni saa sita usiku sasa hivi, naona satelite za wachawi zimeanza kurusha mawimbi.
Haa ha ha, kwani mkuu unajua mwanzisha UZI yupo nchi gani!? Huenda yupo zake nje ya nchi ya Tanzania, sorry halafu na wewe muda huo ulikua unafanya nini mida ya WANGA!?
 
Bila kupoteza muda hakuna asiyejua umuhimu wa mtanzania huyu naomba serikali imuajiri MTU huyu maana ni muhimu mnooo

Na ili kuondoa conflict of interest maxence akabidhi uongozi wa jf kwa wengine abaki kuwa mtumishi wa umma

Nimeona memba wengi wamenipiñga kwenye hii hoja yangu lakini Mimi naiona jf kama ni brand halisi ya Tanzania kama ilivyo safari lager na bidhaa ñyingine zinazotengenezwa Tanzania

Mathalani nikiwauliza member jamiiforum wanaitazama kama Mali ya MTU binafsi comred melo au wanaitazama kama Mali na bidhaa ya watazania?

Binafsi nadhani serikali ingejinasibisha na kuiacha ishamiri jf ili iwe alama ya demokrasia ya watanzania kuisimamia serikali yao kuliko kuiwekea vikwazo kwa kufanya hivyo sifa zingeiendea tz na sio MTU binafsi melo anyway kuhusu kupungua ufanisi ni kwamba angeachia bodi huru iiongoze jf kwani mathalani mmliki wa CNN ted Turner enzi hizo angekuwa ndani ya cabinet ufanisi wa CNN ungepungua ?
Serikali imuajiri idara ipi!?
 
Hii kitu nakataa, kwa uwezo wa Max muache tu hapo alipo
 
Mtoa mada hii mada yako siyo nzuri kabisa, hii serikali ndo unatamani Melo wetu aajiriwe huko au unasema serikali ya nchi gani?
 
unazinguw mdau wakati hapo alipo ni zaidi ya kuajiriwa isije kuwa ww wasiojulikana
 
Unataka PM zetu ziwekwe hadharani?? Mtoa mada nilishakwambia balimi na ugoro sio kitu kizuri ona sasa 'unavyojifedhehesha' mbele ya 'kadamnasi'
 
Nafwatilia sana mkuu kuna wakati inakulazimu Ku suppress ego yako kwa manufaa mapana ndio serikali ingefanya iachane na bifu nae kama lipo wamtumie kwa maslahi mapana ikiwemo kuipaisha jf zaidi kimataifa maana ni brand ya tanzania
Unawaza kuajiriwa tu.
 
Dah nineamini uchawi sio lazima kuwa na tunguli tu aisee.
 
Kila nikisoma mara mbili sijaona unaposema aajiliwe sekta gani hapo serikalini. Be specific mkuu aajiliwe kitengo gani??
 
Back
Top Bottom