PreGE2025 Maoni ya Wananchi post ya St Bongo Instagram iliyohoji 'Unaonaje hali ya siasa nchini kuelekea uchaguzi mkuu?

PreGE2025 Maoni ya Wananchi post ya St Bongo Instagram iliyohoji 'Unaonaje hali ya siasa nchini kuelekea uchaguzi mkuu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Wakuu,
Katika pitapita zangu mjini Instagram nimekutana na hii post ya St Bongo TV inayohoji, Unaonaje hali ya siasa nchini kuelekea uchaguzi mkuu? Na haya ni majibu ya baadhi ya wanamioto
1748328939492.png

1748328978968.png

1748329007938.png

1748329050798.png

1748329124974.png

1748329078102.png

1748329170417.png

1748329213210.png
 
Mi huwa najiuliza hawa wabunge kazi yao kubwa ni kumsifia tu mama ushungi badala ya kutetea majimbo yao? Kweli mjinga silaha yake kuu ni kujipendekeza
 
Wabunge wanaamini kumsifia rais ndio ticketi ya kurudi mjengoni
 
Back
Top Bottom