mrxtz2026
New Member
- Jan 24, 2026
- 3
- 1
Habari ndugu zangu wa Tanzania.
Kwa jina la Hifadhi au Kificho naitwa Mr. X, na napenda kujitambulisha kwa jina hilo huku nikificha taarifa zangu zote za elimu, umri, na anuani ya makazi. Hata hivyo, niweke wazi tu kwamba mimi ni Mtanzania mwenye asili ya Tanganyika.
Nina jambo muhimu sana ambalo nataka kuwajulisha Watanzania wenzangu, hivyo ujumbe huu usipuuzwe na yeyote; usikilizwe na ufanyiwe kazi.
Mnamo mwaka 2022, niliwahi kuwasilisha Nyaraka Mbali mbali na Rasimu ya Katiba katika baadhi ya Taasisi za Kiserikali na Kiraia hapa nchini.
Niliwasilisha kupitia barua pepe katika Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Ikulu Mawasiliano, Wizara ya Katiba na Sheria, Mahakama Tanzania, Bunge, Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na taasisi mbalimbali za kitaifa na hata kupitia semina mbali mbali, Majukwa ya kisheria n.k Hata hivyo, sikuwahi kupata uthibitisho kama ujumbe huo uliwafikia kikamilifu (Barua Pepe za Serikali na Ofisi Maalumu za Kiserikali) binafsi nilijipa Jibu kichwani mwangu pengine ni dharura ya Kibinadamu ya kupuuzia Baadhi ya mambo, hiyo maybe nilipuuzwa au ujumbe hule haukuweza kufikiwa wala kufunguliwa.
Sirahumu wala sibezi Hali hiyo Bali naichukulia ni dharura ya Kibinadamu na kimfumo.
Pia Baadhi ya Watumishi mbali mbali pamoja na marafiki kwenye semina Hizo waliniambia kwamba "Katiba hii ni nzito Sana na inatishia Maslahi Fulani ya watu hivyo inaweza kutosikika wala Kupewa kipaumbele"
Mimi siungi mkono Mawazo hayo na Naona pengine Wakati huu inaweza kueleweka, kufikiwa na watu wengi zaidi, na Pengine inaweza kuwa Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa kuzingatia hali na mambo yanayoendelea nchini, nimeona kuna umuhimu mkubwa wa kuitoa Katiba hii kwa Umma, ili kila Mtanzania aweze kuiona na kuelewa kilichokuwa muhimu kufanyika kama Taifa.
Pakua: Maoni ya Pendekezo la Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hapa.
Proton Drive link (Bonyeza Hapa) or copy Proton Drive
Mega Drive Link (Bonyeza Hapa) or copy 179.5 MB folder on MEGA
Mimi binafsi nilipata ndoto nzito iliyonisukuma kufanya uamuzi huu, licha ya maneno ya wakosoaji wengi mtandaoni pia walinisukuma nifanye Maamuzi haya mmoja wapo ni Muheshimiwa Balozi H. Polepole pamoja na Maangaiko, Malalamiko, na Hitaji la reforms la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yamenipa Nguvu kubwa ya kuona Nina Wajibu wa kuisambaza kwa Umma Katiba hii,
Msukumo mkubwa zaidi ni pale Muheshimiwa H. Polepole Kila alipoongelea mambo mbali mbali ya taifa letu Niliona kama ananiambia Mimi kuwa "Mr X unachokitu Muhimu kwa Taifa lako, Utakuwa mtu asiefaa zaidi kama hautochukuwa jukumu hili", hivyo basi nami nimefikia uamuzi wa kuitoa na nawaomba Watanzania wenzangu muipitie Katiba hii kwa pamoja na Kwa uwelewa Safi pia Nimeona Katiba hii inafaa kuwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Endapo kutakuwa na ulazima wa kujitambulisha rasmi kwa Umma, basi nitafanya hivyo pia nimeweka Njia nzuri ya kujitambulisha kwa baadae maana Baadhi ya file hizo nimeziweka password na hata PDF FILE ya Katiba pia nimeiwekea kuhelezo za cha kidigital ambacho kitanitambulisha kama Muandishi sahihi wa Katiba hiyo na Endapo yeyote atakaesema yeye ndie Muandishi Basi atawajibika Kutoa password ya file hiyo na vielezo vingine vya kidigital nilivyoziweka.
Naomba Niseme Wazi Kwamba "Katiba hii imetatua Matatizo yote ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa maana Matatizo ya sasa na hata yanayoweza kuja.
Pia Niseme Tu Endapo nitapewa Nafasi na Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kutoa Hutuba Ambapo Taifa Zima linasikia, litaona na Kufuatilia Bunge Kwa Wakati huo Basi Naapa (Wallah) Naweza kulikusanya Taifa lote kwenye Mstari mmoja ulionyooka, Ninao ujumbe MZITO wa kuwafanya Watanzania wote wapange Mstari mmoja nyoofu na Tutapata Umoja wa kitaifa wa kweli.
Endapo utafanikiwa Kuisoma Katiba hii na Endapo utaona kuna haja kubwa ya kuisambaza Katiba hii, vyovyote iwezekanavyo Basi usisite kufanya hivyo.
Kuhusu Muandishi na Mawasiliano:
Author name: Mr X "dk2iPfgN6fYJRh+B4h/T1ZAmDTERpKBqL7B5bvX2th8="
Instagram (IG) @mrxtz2026 or copy mrxtz2026
Jamii Forum: mrxtz2026
Tiktok: mrxtz2026
Email: Kendlysk@proton.me
Nikupe Pongezi kwa Juhudi uliyoichukuwa na Asante Kwa Hatua utakayoichukuwa.
"Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika"